Search results

  1. Senee

    Hivi ni kweli Ommy Dimpoz hana mpenzi au mnamsingizia tu?

    Mdangaji karudi kwao , akipata sponsor anaanza kutusumbua na mapicha ka vile kahama nchi
  2. Senee

    Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

    Mi napenda kula jamani, mazoezi siwezi [emoji23]
  3. Senee

    Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

    Mi nakulaga Saa 12 Uji Saa 4 Juice/Matunda Saa 7 ndizi vilizochemshwa na mbogamboga Saa 10 Uji Saa2 ndizi na mbogamboga
  4. Senee

    Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Embe + parachichi + Passion Tikiti maji + Ubuyu
  5. Senee

    Wadau msaada unahitajika

    Wanandoa wengi mnajisahau na kuanza kuishi kwa mazoea, kama you are always on the phone hata mimi ningekupekua simu yako kila nipatapo muda May be she just need your attention. . Mpe muda wako zaidi urudipo nyumban, trust me she wont hv tym kukimbizana na hiyo simu
  6. Senee

    Naomba feedback kwa aliewahi kutumia mafuta ya vaida

    Mazuri sana yanafanya nywele zinakuwa nyeusi Pia zinasaidia sana kwa wanaosumbuliwa na mba, Ila tatizo lake ni kuchafua mto ukilala
  7. Senee

    Tujifunze kupenda tunapopendwa

    Some people claim they love you but dont wanna show it. . All they do is making you feel insecure, inferior and not trustworthy so that you can spend alot of time proving your love to them, while they do nothing
  8. Senee

    Wahenga nahitaji mawazo, kutokuwa na hamu ya kuwasiliana na mpenzi niliyeachana nae

    Kwa nini uwasiliane nae wakati mmeachana? Labda kama anakupa madili ya pesa
  9. Senee

    Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

    Mfyuuu hata bao moja kwa siku likushinde, Wiki nzima ziiiii wewe n kikoroma tu
  10. Senee

    Utunzaji wa nywele za asili

    My dear ukiweka dawa lazima new growth itokee, kwa hiyo itakulazimu uweke tena dawa Ila kama hutaki nywele za dawa siku hizi kuna products nzuri za natural hair, try za cantu ila za auntie jackie naona zipo cheaper kidogo
  11. Senee

    Mpaka msitishe hili ndo tatizo la nguvu za kiume litaisha

    Yan hapo disqualification ushapata. . Wewe inayojikunja kama bubble gum doh
  12. Senee

    Mpaka msitishe hili ndo tatizo la nguvu za kiume litaisha

    Hasipoweka maufundi unasema sio mbunifu, akiweka maufundi unasema anazidisha. . Nenda katibiwe bubble gum yako, period!
  13. Senee

    Mpaka msitishe hili ndo tatizo la nguvu za kiume litaisha

    Dushe ikinyonywa inajikunjaje kwa mfano?? Itakuwa ana matatizo, hata kuperform hawezi hapo
  14. Senee

    Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

    Tena mwanaume mwengine unajishetua unamshikashika, anakwambia amechoka mfyuuuu Kuna mwanaume anachokaga kut*ana shwaini kabisa
  15. Senee

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Wanaume ndivyo walivyo, husikae unaumia roho kujiona umekosea sehemu. . Do your part baaasi, channel your energy kwa watoto wako na shughuli zako za maendeleo
Back
Top Bottom