Search results

  1. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Bilashaka nilikunywea ukiwa ndotoni
  2. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Ngoja kwanza turudi kutoka Tunisia
  3. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Manara tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ungejua ninavyoipenda yanga usinge sema hivyo.
  4. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Hapana nia yangu ni kutoa shukrani kwa jamii forum kwa kusababisha kufika nilipofika.
  6. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    ,[emoji23][emoji23][emoji23]shurani sana mkuu. Ni kuzidiwa tu na majukumu.
  7. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Asante ila upasua kichwa umenishinda nimerudi kwenye uhalisia wangu.
  8. moniccca

    Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

    Tarehe 15. Nov. Nitafikisha miaka Saba kamili ndani ya JF. Ni safari ndefu na ngumu mno hasa kukabiliana na hoja za wadau wengine humu ndani. Mbali na changamoto lakini JF imekuwa sehemu yangu ya maisha kwa sababu zifuatazo. Nilijiunga JF nikiwa muajiriwa tu wa kawaida kabisa ambaye anafanya...
  9. moniccca

    Huu mchezo wa kuwanyima waume zenu unyumba bora ukaomba talaka

    Hujui kuwa tendo lile ni la kisaikolojia ? Yaani unikasirishe halafu nikuvulie nguo na kukatika nikukatikie? Kulla jeuri yako au kapige puli.
  10. moniccca

    Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

    Maandishi yote hayo nisome mimi mpaka nimalize? You can't be serious!
  11. moniccca

    Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Inategemea wengine pesa wanazisimamia tu wala siyo zao ndiyo maana wanalazimisha umaalufu huku wakilazimisha watu waone wanachokifanya lkn ukweli kwamba ni walaghai wakutupwa
  12. moniccca

    Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Hata ukiwadharau huna cha kuwafanya na bado wananafasi ya kumpromote Manara wanatakavyo ila Kama umeumia sana kalale ukiamka itapoa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] By the way Mudi aache janja janja sasa ameanikikwa na wahusika wataanza kumfuatlia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. moniccca

    Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

    Ukimaliza kuota wahi washroom usijekojoa kitandani
Back
Top Bottom