Search results

  1. D

    Hoteli maarufu miaka ya 1990's na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa wasafiri wa mikoa ya Kaskazin

    Habari za kwenu wana jamii.. Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana Liverpool. Nawakaribisha na wengine nao kutoa kumbukumbu zao.
  2. D

    UTAPELI unaofanywa na wafanyajazi wa "DART"

    Leo katika majira ya saa nne usiku nikiwa katika kituo cha mabasi ya mwendo kasi eneo la Korogwe nimejikuta nikishangazwa baada ya kuuziwa tiketi ambayo inaonekana imekatwa kituo cha Mkwajuni saa 11. Na wafanyakazi wa eneo lile. Tafadhali wahusika tunaomba muwe makini na hao watu.
  3. D

    Beer Vs Tofali

    Habari za humu ndani, Nimesikitika sana kusikia eti mtu anafananisha beer na tifal za kujengea,tokea lini beer ikafanisha na vitu vya kawaida. Naombeni mawazo yenu
Back
Top Bottom