donzii mayeyo
Member
- Nov 13, 2015
- 66
- 37
Leo katika majira ya saa nne usiku nikiwa katika kituo cha mabasi ya mwendo kasi eneo la Korogwe nimejikuta nikishangazwa baada ya kuuziwa tiketi ambayo inaonekana imekatwa kituo cha Mkwajuni saa 11. Na wafanyakazi wa eneo lile.
Tafadhali wahusika tunaomba muwe makini na hao watu.
Tafadhali wahusika tunaomba muwe makini na hao watu.