kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.
unajisikiaje akikwambia kwamba haufikii? hauoni kama unajidharirisha na pia unamdharirisha mkeo?:coffee:
:coffee:first we need individual consciousness and then later mass awareness on this burning issue, if every individual is aware of everything that is happening then JK will fall for good.:A S thumbs_down:
wewe acha unafiki mwambie huyo ami yako akupashe vizuri taarifa zote wafanyakazi wanazo hakuna taarifa yoyote ambayo viongozi wa udomasa hawajaifikisha kwa wenzao yote unayojifanya hayajafika yamefika na wanazo with details a - z, andika vitu vyenye msingi na si porojo.
'be a great thinker'
Vyombo vya habari vimeamua kutowatendea haki wafanyakazi hao, kwani wameenda kuongea nao na bado madai yao hawajayafikisha kwa umma, Taifa la Tanzania linaelekea wapi? kama vyombo vya habari vinafanya hivi watanzania tukimbilie wapi?
kwa kweli tumechoshwa na ubadhilifu wa namna hii, halafu ni kwa nini vyombo vya habari havitangazi hii habari? hao viongozi kwa nini wasiwajibishwe, hebu wapeni haki yao ya msingi, wanafanya kazi kwa kweli kwa uvumilivu mkubwa, ningekuwa mm nisingeweza ningeacha kazi! Hongereni kwa mapambano...
mimi NASHINDWA kabisa kuelewa inakuwaje taarifa za kiintelligence kwanini hazikuwafikia kuwa watu wanataka kuchakachua pesa mpya? au waliongea hivyo ili kuwaumiza tu watu wa Arusha na kwa kuwa ilikuwa ni chama chetu?
mmmh! tunakoelekea tutazidi kudai haki tu hata mkitukamta, Pole sana DR. SLAA tuko pamoja nawe, PRESIDENT wetu.........................................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.