Search results

  1. S

    Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

    Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano...
  2. S

    Rais Magufuli na manispaa Kinondoni vinara safari za nje ya nchi

    Mh.Rais Magufuli sisi Watanzania Tunakupongeza kwa kukomesha safari za Nje ya Nchi kwa Watendaji Wa Serikali ya watu masikini.Manispaa ya Kinondoni ni Halmashauri ambayo inaongoza kwa Madiwani Na Watendaji wake Kwenda nje ya nchi huku fedha za miradi ya maendeleo zinatumika kwa posho Na safari...
  3. S

    Rais Magufuli kateua Mwanasheria mkuu

    Nimesikia Rais kateua Mwanasheria mkuu kwa aliyesikia ni yule yule au in mwingine?
  4. S

    Sifa za kugombea ubunge ziangaliwe upya

    Tunashauri katika Katiba ijayo sifa za wagombea ubunge zitazamwe upya kwani dunia hii ni ya sayansi Na teknolojia hivyo elimu ya kujua kusoma Na kuandika imepitwa Na wakati.
Back
Top Bottom