Search results

  1. saidi yakoub

    Msaada: Mwanaume wa miaka 20 na zaidi kuwa na matiti

    Mimi nauliza tatizo la mwanaume kuanzia miaka 20 na kuendelea kuwa na maziwa linasababishwa na nini na jee tiba yake ni ipi ili yaondoke hayo matiti
  2. saidi yakoub

    Biashara ya kusafirisha abiria

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine na zipi changamoto zake
  3. saidi yakoub

    Uturuki kuivamia kijeshi syria na iraq

    Jeshi la uturuki lipo mpakani mwa syria na iraq ambapo linafanya mazoezi ya nguvu. Sababu ya kufanya hivyo ni kutopenda kufanyika kwa kura ya maoni ya jimbo la wakurdi wanaotaka kujitenga kutoka serikali kuu ya mjini bagdad.Uturuki inaona kutangaza uhuru kwa jimbo hilo ni kuchochea machafuko...
  4. saidi yakoub

    Kijiswali

    a)Kwa nini bondia kama floyd mayweather hajawahi kupigana na mabondia kama Anthony Joshua,Vladimir Klichko,David Haye,Amri Khan, David Chisola b)Na huu mchezo huwa unapiganwa vipi maana katika hao wote utasikia ni bingwa wa dunia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. saidi yakoub

    Msaada wa ujuzi na kuendeleza biashara yangu ya mazao

    Habari zenu, Mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007. Nilibahatika kupata div 4 ya point 26 nilipata C tatu. Sikubahatika kuendelea advance nikaamua kujishughulisha na biashara ndogondogo, huwa nafanya biashara ya mazao na huwa napata mpaka milioni 20 kwa mwaka, tatizo...
Back
Top Bottom