Search results

  1. peck

    richmond, epa vimeisha kimyakimya la ulimboka na mwangosi tunaomba mrejesho wake hadi mwisho

    Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr ulimboka, na mambo mengine mengi ambayo tungependa tusikie muendelezo wake ila haiko hivyo. Rai kwa...
  2. peck

    Mawaziri wa jk mna nini???

    Binafsi nawashangaa MAWAZIRI hawa wa jk walivyo na majibu rahisis kwa hoja zinazoonekana kuwanufaisha watanzania wengi, Mfano:- Hoja ya KATIBA mpya waziri Kombani alisema kuandaa Katiba mpya ni Gharama kubwa serikali HAIWEZI kuandika katiba mpya. Jana tumemsikia waziri kawambwa amewaambia...
Back
Top Bottom