Search results

  1. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Tuliongea kwa mapana. Waislam wana malezi mazuri kwa watoto wa kike ila wakiume wanakua viburi na jeuri. Wakristo wana malezi mazuri kwa wakiume ila wakike inakua ndivyo sivyo. Wakiume: ukristo Wakike: uislam
  2. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    "Religious sympathy" sio tiba katika suala hili. Miiko ya kidini tangu awali inazuia kuoa au kuolewa na mtu asie wa dini yako! (Hii ni kwa pande zote; Wakristo na Waislam) NI LAZIMA MMOJA AMFUATE MWENZAKE.
  3. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Kama kweli wampenda Mungu basi acha UZINZI mtafute Mungu. Kama haupo tayari jiandae mapenzi kukufunga kamba utakazo shindwa toka hapo baadae. Na kama utaweza kutoka basi vidonda lazima(kiroho na kihisia).
  4. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Hongera. Mwenzangu alitoa wazo. Kama kweli tunapendana, basi tujitoe mhanga wote dini tuache. Kwa experience yangu naamini inawezekana. Lakini itabidi mkae chini mchore mistari na kanuni wapi misimamo ya dini inaingiliana, wapi ishikwe na wapi ilegee.
  5. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Mtaweza vipi kuwa kitu kimoja kama huwezi kukubaliana na tofauti zenu? Hili suala nina experience nalo...mwanzo alikua ananiuliza sana napuuza. Mwisho yakatukuta, mtavutana ila yakifika kwa wazazi mtagonga ukuta.
  6. Alpha13

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Imeandikwa mke atamfuata mume. Pia mume ndio kichwa cha familia, au unataka mwenzio awe mkia akufuate?
  7. Alpha13

    Why country borrow to finance its budget?

    Why should the government pursue balance of payment? If it happens a county export more than importing is there a need to have balance of payment? Is there a critique behind?
  8. Alpha13

    An analytical narrative of nation formation in modern Tanzania

    Well written thoughts. Historically, Tanzania had favourable cultural and national roots that garnered to what you call "narrative stable politics". But all has to be ascribed to the nature and influence of; the late Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Usually nations follows entropy(stability to...
  9. Alpha13

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Some lilikua wananchi vs sheria. Mwenzangu alitegemea niwatetee wananchi, nilipochangua upande wa sheria akajanikosoa "wananchi ndio watunga sheria kupitia wawakilishi". Nikamjibu sheria zinatungwa kutoka kwenye morals "elimu ya mema na mabaya" ambayo ilikuepo kabla ya wananchi wote tuliopo...
  10. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Maoni....sina ushauri. Washabiki tunajua kunyosha vidole mpira hatuujui. Dalili ya mvua mawingu labda upepo wa kisurisuri upite. Kama mwanzo niliposema uamuzi wa kuendelea au kumpumizika upo mikononi mwake, pia tunamjua kwa kubadili gia.
  11. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Tutaongea nadharia zote, umri wangu haujalishi; mtazamo wangu ni huu. Kizazi cha Magufuri kitakapita, kizazi cha waliozaliwa baada ya 1980 sina imani nao. Simfahamu kila aliezaliwa kipindi hicho pia siwezi msemea kila mtu LAKINI "post modernism mentality" waliobeba moyoni na vichwani haitaleta...
  12. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Hana sababu ya kuwa mkaidi. Maisha yanaenda, nchi ipo na itaendelea kuwepo. Sema raha hufika pahala inakua pahala, miaka 5 ni michache. Hakuna anaeifikia akamwaga mbwiga. Boredom huanza mwaka wa 8 na 9, inafika muda waanza kuuliza bado miezi ama siku ngapi nimpe mwingine kijiti? Kitu pekee...
  13. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Bahati mbaya au nzuri, hakuna shule ya kumwandaa anaenda kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Ingawa huwa wanavuka mipaka wanapo agiza uhai wa mtu fulani uondolewe. Hata Mungu hutumia mbinu kadhaa kuwafundisha wanadamu wamrudie, ila wakishupaza shingo upanga hupita. Suala la kuendelea kuongoza nchi...
  14. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Umeongea kwa ufupi sana watu wanaweza tafsiri vingine. Maaana ya Raisi wa maelekezo ni pale vikao vinapokaa (haijarishi idara au taasisi kama chama tawala) wakaafiki agombee kiti cha uraisi. Hivyo basi Raisi ni mlolongo wa utaratibu mrefu pia maadhimio ya vikao kadhaa wa kadha pia...
  15. Alpha13

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Okay tujibizane kwa hoja. Sheria zina reference point ama grounds. Sheria zote zimetungwa baada ya kuchambua jema na baya "Morals". Morals karibu zote tulizonazo zilikuepo kabla hata ya kuzaliwa (pia kabla ya wananchi wote waliopo hai leo). Pia tunaweza vutana kwa hoja milele nani...
  16. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Naona unawaimbia pambio kabisa. Lakini mambo yasipoenda sawa lazima wakosolewa. Tena naamini ni vizuri kuwakosoa maana wana utambuzi na ufahamu wa kusikiliza pia kubadilika tofauti na wabunge wachumia tumbo. Bahati nzuri hadi walipofikia tayari kuna watu wamewekwa kukosoa na kurekebisha ikiwa...
  17. Alpha13

    Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

    Labda china ndio ianzishe vita si marekani. USA wana instruments nyingi za kuidondosha(sio kuangamiza) China.
  18. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Swadata. Bahati mbaya siku hizi miiko na utaratibu unakuja baada ya maslai ya viongozi. Mara chache sana idara itamkatalia kiongozi asipate anachotaka kupitia taasisi iliyoshikilia "SYSTEM"
  19. Alpha13

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Nchi ndio mwajiri wao. Lakini maslai yao sio ya wananchi.
Back
Top Bottom