Search results

  1. mkandya27

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani naomba mwenye wimbo wa Marc Anthon you sang to me anisaidie plz.
  2. mkandya27

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Za kisukuma.
  3. mkandya27

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nina tv yang lg led tv inchi 32 nimeitumia muda mrefu sana ila hivi karibuni vimetokea vimistari fulani hv kwa juu shida ni nn na tatizo linaweza solvika vipi?
  4. mkandya27

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Sakiti ya kioo cha lg led tv 32inch naweza kupata kwa sh ngapi?
  5. mkandya27

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Location plz nipo sengerema inafikaje?
  6. mkandya27

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo wa kisukuma sanji oyo mwenga naombeni tafadhali.
  7. mkandya27

    Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Kuwa mwajiriwa mpya kuna mambo mengi bro pengine alichelewa kuripoti akakuta tayari halmashauri wameshatuma payroll inakuwa vigumu yeye kuupata huo mshahara wa mwezi husika , hivyo mshahara wake utakuwa ni limbikizo anaweza akalipwa mwezi unaofuata double salary hvyo mwelekeze awe mvumilivu na...
  8. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Na nyinyi nyumba zenu zingekuwa hazijafikiwa na miundo mbinu nadhani namba tungekuwa tunaisoma wote lkn kwa sasa mnaona ni vizuri tu kuwaambia wenzenu wakae kusubiri miundo mbinu iwafikie
  9. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hili shirika majibu yake tu inaonyesha hawako tyr kuhudumia wananchi haiwezekani mtu anajibiwa etinanatakiwa kusubiri miundo mbinu imfikie maana yake hakuna muda sahh wa hyo miundo mbinu kufika ifike mahala muwe serious na majibu yenu
  10. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwenye makosa ni mteja au ni watoa fomu?? Lakini huu sio mjadala wakuendelea kujadili mm ninachokiomba ni kujua tu miundo mbinu itanifikia ln lkn kunambia misubiri hapo ndo inakuwa kasheshe kwan kusubiri ni kusubiri tu pengine lbd hadi 2025
  11. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndo mseme sasa nisubiri hadi ln maana kama ni kusubiri nimesubiri sana na huduma zenu ziko slow sana
  12. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ile ya kwanza walinipa lkn haikuingizwa kwenye mfumo wao na nilipouliza wakadai ile niliyochukua ilitoka kimakosa ikanibidi kujaza nyingine mwezi april hv kweli kutoka mwezi jully walipokuja kutoa tathimini imekuwa ni kigezo cha kucheleweshwa huduma???
  13. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeuliza hivi makusudi kabisa na fomu nilishachukua toka mwaka jana lkn ilipofika ofcn kwenu ilipotea nikajaza nyingine tena mwezi April lkn watu wanaotakiwa kufanya makadirio halisi walishakuja toka mwezi Jully na kutoa majibu ya uhitaji wa nguzo mbili lakini mpaka leo hakuna kilicholetwa...
  14. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kila nikija hapa kueleza kero yangu mnanijibu kuwa mmpokea taarifa zangu kwa hatua zaidi inakuaje mtu amejaza fomu ya kuhitaji umeme toka mwezi april na serveyer wameshakuja na wlitathimini wakaona kuna uhitaji wa nguzo mbili hadi kunifikia nilipo lkn hadi leo hakuna nilichokiona wala nn...
  15. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naulizia gharama anazotakiwa kutozwa mteja kwa sasa ikiwa atahitaji nguzo mbili
  16. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kuuliza ikiwa mteja ana uhitaji na nguzo mbili je kuna gharama yeyote kwa sasa??
  17. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Taarifa mnapokea kila mara lkn kufanyia kazi inakuwa ngumu shida iko wapi?
  18. mkandya27

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kiukweli mnaturudisha nyuma sana kwenye maendeleo kama taifa, nilishakuja hapa kueleza masikitiko yangu kuwa hamjanitendea haki ktk suala la kupatiwa miundo mbinu , nilieleza mkaniambia mnalichukulia hatua lkn hizo hatua sijaziona au hatua zenyewe ni za kukaa kimya? Nimejaza fomu ya...
Back
Top Bottom