Search results

  1. Sangiwa Eliamani

    Dkt. Bashiru Ally amtaka Bernard Membe kujibu kuhusu kufanya vikao vya kutafuta kura 2020

    Sijaelewa....kwani katiba haimruhusu kufanya hivyo????...Naomba mtu anieleweshe tafadhali!
  2. Sangiwa Eliamani

    Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Micro chip inasaidia kufanya tracking peke yake...hai record maongezi wala hai pigi picha....acha ushamba!
  3. Sangiwa Eliamani

    Carol Ndosi: Dear International Community, Don’t come to us later and say “Had we known, we would have done more”

    If we were a oil producing country it might have stirred the International community a bit.
  4. Sangiwa Eliamani

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________ _______________
  5. Sangiwa Eliamani

    Wadau wa Haki za Binadamu: Tanzania Ina Viashiria Vyote vya Ukiukaji wa Haki za Binadamu Serikali Ijitathimini

    So what.....try doing something about it instead of repeating your statements year in and out.....sickening!
  6. Sangiwa Eliamani

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    The opposition is clearly losing direction and foothold....not a single constructive statement from Mr Lissu....only destructive criticism....what a shame!
  7. Sangiwa Eliamani

    Its never too late!

    Those who don't learn from history are doomed to repeat its mistakes. Those who create their own alternative history are destined to screw up in new and innovative ways.
  8. Sangiwa Eliamani

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    "Unajua mimi ni nani"....won't work this time. Follow the rules and live a good life. Short and clear!
  9. Sangiwa Eliamani

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Sijaelewa....nisaidieni. Nimeshawahi kupark gari vibaya. Nilikuta gari langu limefungiwa chuma. Wakala wa kampuni waliniandikia karatasi yakulipa faini Tsh elfu 50....nilipowaonyesha reciept ya malipo....walifugua vyuma vyao nakuniruhusu kuondoka bila pingamizi. Swali: Kwanini wakala pamoja na...
  10. Sangiwa Eliamani

    Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

    Mimi nishaegesha gari yangu vibaya....hivi karibuni....sana sana hawa wakala wanaokamata magari ya wrong parking walinifungia gurudumu la mbele na chuma pia waliniomba nikalipe faini....nilipo lipafaini tsh 50,000/- walinipa reciept nakunifungulia chuma nakuniruhusu kuondoka....sijaelewa kwanini...
  11. Sangiwa Eliamani

    Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata

    Unaweza fika kuliona panga appointment nikupeleke....udongo sehemu kubwa ni mwekundu
  12. Sangiwa Eliamani

    Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata

    Shamba ina miti yaasili (hard wood) nakibali chakuvuna kipo....kina kisima kirefu (borehole) kina offer...sehemu nzuri kwa kilimo na ufugaji
  13. Sangiwa Eliamani

    Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata

    Bei ya Shamba in tsh 500,000/- kwa heka maongezi yapo.
  14. Sangiwa Eliamani

    Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata

    Nina heka 800 Handeni kama unataka...naimepimwa.
  15. Sangiwa Eliamani

    Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    I did not see the logic behind Bishop Gwajima's followers and Yanga fans going to the Dar es salaam central Police station....it clearly shows the degree of ignorance of the public at large who do not command an adequate understanding of the gravity of the issue at hand...and it seems they...
  16. Sangiwa Eliamani

    Serikali za Mtaa na kamisheni ya 10% kwenye mauzo ya viwanja/mashamba

    Naomba kueleweshwa kuhusu10% wanao chukua viongozi Serikali za Mtaa punde unapouza au kununua Shamba au Kiwanja. Kwa uelewa wangu najua yakwamba fedha hizo zinapaswa zitumike kwaajili ya maendeleo yaeneo husika lakini kwamtazamo wangu naona zinapotelea kwenye mifuko ya wachache ambao ni...
Back
Top Bottom