Search results

  1. Da Pretty

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Furaha yako nini sasa? Maana hata hao walio Facebook wapo pia X
  2. Da Pretty

    Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

    Nadhani next ni Chanika
  3. Da Pretty

    Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Hao vijana wakajifunze kwa wazazi wao. Mtu ashindwe kuishi uhuru wake kwa ajili ya vijana asiowajua?
  4. Da Pretty

    Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

    Wachaga hawana mahaba kujifanya wapo busy kuwaza pesa hadi kitandani. Tena usiwe mmachame au Mkibosho ndio tatizo kabisa ila nilionja Mmarangu ana huba ila tapeli. Sijaongelea kabila zima ila niliokutana nao
  5. Da Pretty

    Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

    Sasa kuna wanaume wa kimakua. Hao acha kabisa kama una wivu usijaribu
  6. Da Pretty

    Hivi ni sahihi kiongozi kwenye hotuba yake kutumia dakika 10 kutambua itifaki ya waliopo?

    Bila hata kuuliza kuhusu Ulaya na Marekani, Ni upuuzi.
  7. Da Pretty

    Mke mwenye miaka 15 aumizwa vibaya na mume kisa kumwaga dawa ya mbuzi

    Ukute hata kusoma hajui angejua vipi kama ni dawa ya mifugo? Wamasai ni wakati sana sana na wengi hawajui kusoma wamefunga na mila na tamaduni zao hivyo ni ngumu watu kujua ukatili unaoendelea huko
  8. Da Pretty

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Kumbe nawe kuna kitu hujaelewa. Police wamefanya Publicity makusudi kutuma ujumbe kwa jamii yote, wahusika pia na wazazi au walezi wachukulie hili jambo ni serious. Wala sio jambo kubwa kwa Polisi ila kwa wazazi, walezi na hao Panya wenyewe. Kesho watangaze kuua sita tena.
  9. Da Pretty

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Hiyo taarifa umeisoma au kujitia ujuaji? Hujaona kama ni wahalifu ambao waneshawahi kufikishwa mahakamani? Na kwa akili yako kubwa sana na ubinadamu wako unadhani kwa namna hao Panya road wanavyofanya matukio kuna namna ya kuwatolea ushahidi wa kuwafunga?
  10. Da Pretty

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Halafu nani akahangaike kuwahudumia wakiwa mahabusu na majeraha yao? Magereza yanawahitaji sana vijana wa umri huo wakafanye miradi ya uzalishaji lakini wasiwe majeruhi wala walemavu. Tatizo huko Mahakamani kunakosekanaga ushahidi hivyo wauliwe tu hawana faida.
  11. Da Pretty

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Ukisoma utagundua hao ni wahalifu ambao tayari wana rekodi ya matukio. Utakamatwa utahojiwa utaachiwa hapohapo njiani hata kituoni hawaendi na wewe. Vifaa vya ujenzi na mjenzi mwenyewe vitajitambulisha tu.
  12. Da Pretty

    Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

    Mimi mkristo ni vibaya kumuombea Dua Rais wangu muislam?
  13. Da Pretty

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Hili gazeti lote ni kuhalalisha tu Mwanamke kupigwa na mumewe?
  14. Da Pretty

    Wanaume: Mnapenda wapole au Wanafiki?

    Natafuta jibu. Maana nimeshindwa kumuuliza huyu wangu. Naigiza utakatifu.
  15. Da Pretty

    Wanaume: Mnapenda wapole au Wanafiki?

    Habari wanajamvi. Nimekuwa najiuliza hili swali, Wanaume mnapenda Mwanamke yipi haswa? Nina marafiki wa kiume na hata kaka zangu ambao huwa naongea nao kuhusu mahusiano. Utakuta yupo na mwanamke muda mrefu halafu Mara tu unasikia ameoa mwanamke mwingine, baadae anataka kumrudia wa zamani awe...
Back
Top Bottom