Search results

  1. Joblee

    Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

    Pump it up! - best crypto pumps on telegram Make 1000% and more within 1 day, join channel @pump_upp !
  2. Joblee

    Mgomo wa Daladala Tanga wakishinikiza kuongeza nauli

    Yew huu mgomo una mantik, halafu wakawa dated mpaka tar 14 ndio bei mpya zianze kutumika
  3. Joblee

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Siku za mwizi ni???
  4. Joblee

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sikuhizi wahudumu wa afya hawavai gloves qakati wa kutoa huduma????
  5. Joblee

    Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

    Proverbs ni Mithali, Zaburi ni Psalms
  6. Joblee

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tunaziba pancha
  7. Joblee

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimecheka balaa... "Sio followers"
  8. Joblee

    Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

    Ni kweli inaweza kuwa lighter and faster japo video sijaitazama, kwa sababu kazi ya play services ni ku link apps zote pamoja ikiwemo playstore.. kitendo hicho huwa kinasababisha matumizi makubwa ya battery pamoja na Ram.. ila kwa Harmony hiyo haipo na ndio maana wanaweza kusema itakuwa lighter
  9. Joblee

    Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

    Sababu ni kuweza kutengeneza platform ambayo iruhusu ku install application bila kuunganishwa na google play services..!
  10. Joblee

    Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

    Tatizo sio Android... Tatizo ni play services kutoka Google.. hii ina maana kuwa Harmony Os ni kama HiOs ya Tecno.. maana yake ni kwamba Android inakuwa imeongezewa User Interface(UI) ila kwa Harmony Os hamna play services
  11. Joblee

    Msaada wa gari yangu

    Air Mass Flow Sensor..! Unaweza kuisafisha au kuibadili kabisa mkuu
  12. Joblee

    Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

    Tulikuwa tunabana matumizi, tukachukua Jezi mbili tofauti na kuzishona... Tuna nyingine upande wa njano upo kishoto na nyekundu kulia... Itavaliwa siku hao wekundu wakiwa nyumbani na hao wa njano wakiwa ugenini Bana matumizi...![emoji23] Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
  13. Joblee

    Updates za Corona Tanzania

    Neema Mungu katujalia watu weusi Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
  14. Joblee

    Updates za Corona Tanzania

    Usisahau mpira ukitoka nje ya uwanja huwa unarushwa[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka sasa tunajisifu sekta ya utalii kukua, tunatarajia kupokea watalii 200 kutoka China [emoji630] Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
Back
Top Bottom