Search results

  1. 2nzi

    Ukikataliwa tulia

    Habari zenu, Nimeishuhudia mara mbili hivyo nawakumbusha akina kaka, mdada akisema sitaki muelewe maana utazua makubwa na hasa kama mwanamke mwenyewe ni wa uswahilini kwetu huku. Juzi kuna kijana kapigwa kichwani na watu wa hasira kali kutokana na kuitwa mwizi na mwanamke aliyembadilikia...
  2. 2nzi

    Ndoto imenkumbusha machungu niliyoanza kusahau

    Wana jf za mida wapendwa, nimemuota ucku huu akitamka hivi"nifungulieni wacnikamate tena" n uncle wangu aliyepotea kwenye mazngra ambayo mpka sasa hakuna mwenye jibu la alipo n mnamo mwaka 2006 alipofiwa na Baba ake akasafiri kutoka Dar kwenda karagwe-kagera kumzika aliwahi kurudi kabla ya...
  3. 2nzi

    Kuna haja ya kumpigia Simu/SMS mpenzi uliyeachana nae?

    Nadhani wazima kama mimi! Ingawa ni mgeni ila kwa upendo wenu mtanipokea kwa ushauri mzuri. Ni hivi wana Jf kuna haja ya kuendelea kumpigia simu, kum SMS mtu uliyeamua kuachana nae ikiwa ulimtamkia kabisa kuwa "tuishie hapa kimahusiano" kutokana na makosa yake. Naweza nikawa mshamba kwa...
Back
Top Bottom