Search results

  1. M

    Naomba kufahamu mtu ili aweze kufundisha collage zinazotoa diploma anatakiwa awe na shahada ya GPA ya ngapi?

    Naomba kufahamu mtu ili aweze kufundisha college inayotoa diploma anatakiwa awe na shahada ya GPA ya ngapi?
  2. M

    Tatizo la uso kupauka/kubabuka

    acha dhihaka ktk jambo muhimu!
  3. M

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    mkiwa hamna ushaur unaoleta manufaa si lazima upost! hv we unadhan vinaweza kukidhi mahitaj yake yote ya chakula na malaz na ada? je field? "NYAMAZA!"
  4. M

    naomba kujuzwa na kupewa ushauri

    naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana nazo, ahsanteni
  5. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    nmekuxoma mkuu, vp kuhusu ajra, yup yupo more marketabke kwa xaxa?
  6. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    nakumbuka km c ww bac alkua mdau wa sua mwngne alxema kwmb agr. eng huchezea kat ya 80% ya bumu bt irrig. eng wanachezea ktk 100% za hapo haitaxumbua?
  7. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    vp kuhus kuhama agr. eng kwenda water r&irr.eng? na vp kuhus mkopo hautaxumbua kwa kuhama koz?
  8. M

    mtaji wa lak moja naukuzaje?

    thanx mkuu but vyote hvyo ulvyovtaja vnahtaj elimu ktk utengenezaj wake
  9. M

    mtaji wa lak moja naukuzaje?

    yupo maeneo ya kgambon
  10. M

    mtaji wa lak moja naukuzaje?

    wana jf, hv kama m2 ana lak moja mkonon mngependa kumshaur afanye kp cha fasta fasta il baada ya muda hv aje awe na mtaj km wa 1million?
  11. M

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    hayo ni moja ktk maneno mazur mno yanayo2tia moyo, ila hata walo2tisha wapo sahih maana wame2fanya tuwe TAYARI kwa yatakayo2kabili, maana tushapata fununu fununu kip ktakua mbele yetu! so, KAZ KWE2
  12. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    kwa ushaur wako kp bora kat ya kuchukua room na kukaa hostel?
  13. M

    Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

    sua ni chuo speacial kwa kilmo so wanafundshwa v2 vng abt kilimo, pia mchaka mchaka wa sua c wa ktoto so alyetoka na bachelor pale kafanya kaz ya ziada, pia nlzungumza na researcher flan hv wa klimo ambae anaphd ya maswala ya kilmo anasema ktk soko la ajra anaangaliwa m2 wa sua b4 wa chuo kngne...
  14. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    vp kuhusu huduma za jamii kama maj, usafir, bank na hosptal? zipo 24 hrs au kuna shida shda kdg?
  15. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    kabla cjasahau na hil, vp hal ya hewa ya huko, ni barid, joto au kawaida? mana cc wengne tumetokea mij ya joto, tujuze!!
  16. M

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    hyo kod ya vyumba unalipa kla mwez, baada ya miez 3 au miez 6?
  17. M

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    vp kuhusu percent ya bumu kwa agriculture eng?
Back
Top Bottom