Search results

  1. B

    Naomba kujua mamna ya kuapply CTL katika Institute of Judicial Administration- Lushoto

    Wakuu nataka nikasome law ngazi ya cheti IJA. Nmeangalia kwenye website yao Hakuna taarifa zinazodirect namna ya kufanya application. Kwa anayefaham naomba anisaidie utaratibu ukoje na Kama wanayo intake ya mwezi March. Ahsanteni.
  2. B

    Sheria ya mirathi inasemeje?

    Principle inasema A non Muslim cannot inherit from a Muslim na vice Versa is true
  3. B

    Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Mkuu niko mbagala unaweza kuwa unaniuzia kwa bei ya jumla mi nikaja kuuza rejareja huku?
Back
Top Bottom