Search results

  1. N

    Kwa tukio la mkutano wa Arusha, Kingunge ndio mgombea wa UKAWA?

    Nimeamini ww ni bonge la mwongo na kwa hakika subiri tr25.Mm nilikuwepo na manyunyu yamenitakatisha hapo uanjani pindi kingunge anaongea na wananchi wakawa wanampigia kelele aendelee pia leo Lowasa ameongea zaidi ya dk10 tena mambo muhimu!
  2. N

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Mzee EDO kamwaga maneno leo kuliko kawaida!
  3. N

    Wanaomdharau Kingunge wamekosa adabu

    Ww ni chizi wa machizi!
  4. N

    Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    Ww ni chadema asilia tokea lini umeiacha ccm yako!Paka shume wewe
  5. N

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Huyo Dr.Mihogo anatapatapa kwa sasa ccm ni nyuma kwa nyuma!
  6. N

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Karibia robotatu ya waliohudhuria walitoka nje ya jiji la Arusha na ushahidi ni pale watu kama ni wenyeje wa Arusha kwa nn waulize maeneo haya hapa chakula kinapatikana wapi! pia wengine walienda Fiesta!
  7. N

    Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    mbona kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wameripoti ni mamia ya wananchi walihudhuria,sasa hiyo 3000s ya wanachama wa chadema ilikuwa mkutano gani? au ndo watu38 na ninyi siku hz mnazidisha kwa 100? Nyamafu nyie
  8. N

    CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Hao Chaso Dar wamekutanaje na vyuo vimefungwa,usanii wa wanaccm huo msituletee!
  9. N

    Mgombea Ubunge wa CHAUMA kuzungumza na waandishi wa habari

    Lowasaaaaaa mpaka ikulu---na mm ni Mtanzania!
  10. N

    CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

    Sikushangai kama hata dola ndo unakosea kuandika basi elimu yako ya chekechea ndo imekutuma!
  11. N

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    ww ndiye tunauliza utwambie kama kweli ni mwana chadema!
  12. N

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Pongezi sana ndugu pia wanaojiita chadema asilia ni ccm ndo sasa wanajigeuza kuuaminisha umma wa watanzania kuwa kuna kundi hlo na chadema imemeguka
  13. N

    Masaburi na Mashaka wa CUF wachuana vikali jimbo la Ubungo

    Kubenea ndo mpango mzima hao wengine wanachuana kwa namba za mwisho na siyo kushinda ubunge!
  14. N

    MkikiMkiki; Mdahalo wa uchumi kwa vyama vya siasa unaoneshwa Star TV 27Sept 2015

    Ulishaisoma ilani ya UKAWA au unajinyea tu!
  15. N

    CHADEMA kimenuka Mbeya

    Dhibitisha kauli yako kwan mm ni miongoni mwa waratibu wa 4UM hapa mbeya manispaa na hakuna kitu kama hcho unachopost!
  16. N

    Je kati ya Magufuli & Lowasa nani achaguliwe kuwa rais?

    Ni wiki ya tano inaenda sasa tokea kampeni za kuwapata Rais,Wabunge na Madiwani zianze huku tukishuhudia kila kundi kwa style yake likiomba ridhaa kwa wananchi.Jambo la kushangaza ni pale ninapoona chama tawala kikitumia mbinu za kila aina na kuwaambia watanzania wachague mtu maneno ambayo ni...
  17. N

    Bundi kutua tena CCM!

    Inaonekana ww muda wote unawaza udini na ukabila hii inatokana na ukwel kwamba msemaji uliyem quote hajasema udini wowote lakini ww unakimbilia udini je hao wanaotaka kutoroka kwa maccm huko ni warutherani au wakaskazini? acha ujuha mm ni mu adventist na Kutoka Butiama na kura yangu ni kwa...
  18. N

    Samweli Sitta athibitisha Richmond ni ya Kikwete

    Kamati ilithibitisha kuwa lowasa amehusika au unaota?
  19. N

    Swali: Mbona waliokuwemo katika baraza la mawaziri kipindiki kile hawazungumzii Richmond?

    Inaonekana 2010 muda wa kampeni ulikuwa zezeta na hukuwa unafuatilia kampeni za huyu mwizi wako mkuu wa kaya!
Back
Top Bottom