Search results

  1. soine

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Kwa nini uwaze watu wale wale? Sura na majina yale yale!! Kwani hakuna mtanzania mwingine anayefaa? Lazima tusikie ubini wa akina Mwinyi, karume, lowassa, kawawa, nape, makamba, etc...? Sema mmefunzwa na kulelewa kulinda system/state.
  2. soine

    Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Looh haya mambo magumu hasa pale unaposubiri miezi mitatu. Omba Mungu yasikukute maana utaisha kwa mawazo. Na wale wazee wa kimasihara na wa show za kibabe hadi pawake moto, jueni pakiwaka moto huenda pamewasha moto mwingine. Vijana na wazee wenzangu tutunze afya zetu. Kama hatujijali, basi...
  3. soine

    Mwenyekiti mpya wa kuivusha CHADEMA

    Mimi ni CCM na namkubali Mbowe sana tu. Mbowe ni kiongozi haswaa....sisemi kuwa CHADEMA hakuna wengine wa kufaa, but huyu mwamba kaweza haswaa nafasi yake. CHADEMA isipopata kiongozi mvumilivu itaparanganyika. Uongozi unahitaji hekima, uvumilivu na utulivu wa hali ya juu
  4. soine

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Uko sahihi. Huenda kuna tatizo ktk ulimwengu wa roho. Fanya sala kumuomba Mwenyenzi Mungu
  5. soine

    Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Hiki ni kiashiria kikuwa kuwa asilimia kubwa ya nguvu kazi (vijana) hawana ajira/kazi ya kufanya. Pia, huenda ktk maandamano kama haya kuna fursa yaani chochote kitu kinatolewa kwa kila mshiriki au hawa vijana wana mahaba na uongozi wa mama na wana maono makubwa na utalii. Sera zikiwa nzuri na...
  6. soine

    Chicken coming home to roosting place

    Nenda kijijini ukasema mabaya yake uone. Sisi wengi wetu ambao ni keyboard clickers ndio tunawaza kama wewe. Nilikuwa Iringa na Mbeya nikifanya kazi vijijini, nilisema jambo niliishia kuambiwa kama unataka tukushushie mvua ya mawe endelea kusema lisilofaa juu ya huyo kiongozi wetu. Mbolea...
  7. soine

    Chicken coming home to roosting place

    That man said "mtanikumbuka". Kweli anakumbukwa na wengi. Dunia inapita pagumu...ugumu uko sehemu nyingi, huko Sri Lanka hali ni ngumu. Ila kuna watu wanachukulia hali hii kufanya uhujumu uchumi. Makamba Jr. anadai hatuzalishi mafuta, Rais anadai hali itakuwa ngumu zaidi. Nawauliza tu...
  8. soine

    Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Namtafuta huyu jamaa atutafutie watu mia wenye utashi kama wake au zaidi yake tuanzishe Think Tank yetu "Tumia Akili"
  9. soine

    Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Yaani hapa nimepata sifuri yenye macho na masikio makubwa. Tumia akili hakika unatumia akili, ulifunzwa ukafunzika. Anyway, karibu kila kitu deepstate wanainfluence sana...kila nafasi nyeti ktk nchi hushikwa na watu nyeti. Kama wewe sio nyeti, basi kubali kunyetishwa. Anyway, ktk hii dunia...
  10. soine

    Thadei Ole Mushi: Hivi Tanzania tuna Think Tanks?

    Nchi hii sio ngumu. Tunapaswa tuache kulalamika, tubadilike kwa kuchukua hatua. Tunawarithisha watoto wetu kupiga madili, rushwa na kulalamika...kuna awamu fulani iliongelewa vibaya hata na watoto wadogo. Natakiwa kubadilika, sote tunatakiwa kubadilika. Mabadiliko ni pamoja na kuwaambia ukweli...
  11. soine

    Thadei Ole Mushi: Hivi Tanzania tuna Think Tanks?

    Hajapayuka Ole Mushi na wachangiaji hapa wanaongea UKWELI haswaaa. Magufuli alipenda kusema "kushindwa kuweka mipango au kupanga, ni kuchagua au kupanga kushindwa". Think Tank ndio dira ya mipango. Tuna mfano hai wa Air Tanzania, report ya CAG inasema kuwa ndege zimenunuliwa bila ya kuwa na...
  12. soine

    Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

    kwamba ukitukana haubaki salama. Hatuna sheria wala mahakama hadi tuamue kutobakisha watu salama? Ni wapumbavu tu hutafuta kutowabakisha watu salama. Mbowe aliitwa gaidi sisi wanaCCM tukaishia kufurahia, mwisho wa siku ametoka bila kuhukumiwa kuwa ni gaidi. Leo hii mnawajua mawakala wa CIA...
  13. soine

    Nimeuchoka Mwili wa Kibantu

    Kasie matata...mwanamke mtulivu na mwenye tabasamu muda wote uso mwake. Hana papara, maamuzi ya kiutu uzima. When on her min-skrits, acha kabisa!! She knows how to love. Keep enjoying and smiling with your lovely body Kasie Matata. Coz Mungu kaumba watu wa aina mbalimbali warefu kwa wafupi...
  14. soine

    DUNIA Ijiandae kushuhudia Mabomu ya Nuclear yakitumika huko Ukraine na Urusi

    Kurusha bomu la nyuklia sio rahisi kama unavyodhani. Marekani ana majuto makubwa kwa kile alichokifanya Japan
  15. soine

    Je ile Sadaka kwa ajili ya Israeli huwa inatumwa Israeli?

    Sio lazima ipelekwe Israel. Sadaka inaweza pelekwa kwa maskini, yatima na wajane na wenye uhitaji. Kikubwa kinachofanyika tendo la kiimani tu, kuwa tunatoa kuibariki Israel kama isemavyo mwanzo 12....ila hiyo sadaka ikatumika mahali pengine. Ni mawazo yangu tu, simsemei mtu
  16. soine

    Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

    Mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata awe mkubwa na kuota unyoya atabakia kuwa nyoka. Nashukuru umeandika kwa maslahi ya taifa. Asante kutoa links zinazoonesha mtiririko wa nyuzi na mwendelezo wa kutafuta wasiojulikana. Niongeze asante nyingine kwa kauli yako inayosema, "wasiojulikana waendelee...
  17. soine

    Wala nchi wanateketeza Pesa Arusha kwa sasa

    Una hoja ya msingi juu matumizi mabaya ya pesa. Rundo la viongozi wengi ni upotevu kiaiana. ILA kusema magereza wanafanya nini? hapa sio sawa kila sector inahusika kwenye utalii, kumbuk magereza ni wazalishaji wazuri sana, wanaweza pia anzisha au ingia kutoa huduma ya utalii
  18. soine

    Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    How can you prove mere words? Alete evidence ya kuwa walimwaga korosho baharini. Naona lile jitu linajitekenya lenyewe, mfumo unajifumua
  19. soine

    CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

    Inaumiza sana umepambana umezichanga kwa jasho na mateso, then anakuja mtu bila huruma anakuhujumu. It is not fair at all
Back
Top Bottom