Search results

  1. Ng'wanamangilingili

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Dogo Dogo underage kama ulichukuliwa demu tulia huna hela subiri ukifika 30plus
  2. Ng'wanamangilingili

    Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

    Hujui kandanda wewe piga kimya acha kulia lia
  3. Ng'wanamangilingili

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Bangi inasingiziwa vitu vya kifala sana wakati ni mmea mtakatifu
  4. Ng'wanamangilingili

    Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

    Mimi Simba SC fan umeongea points.
  5. Ng'wanamangilingili

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Uko sahihi 100%, huwa naweka audio ya English coz ya kelele za wale jamaa wa azam ila dogo yuko poa, I switched back for a try after seeing your comment and I'm there tbc1 to stay. Blessings
  6. Ng'wanamangilingili

    Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

    Wacheni mumbwembwe muwende mukacheze gandanda kwa stadio na si kupanua madomo
  7. Ng'wanamangilingili

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Magu leo kesho nenda rudi mnamkanda tu hata kama perepere na mchwa washamtafuna
  8. Ng'wanamangilingili

    Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Kwenu hamziki tangia Magufuli azikwe au kabla ya kuwa rais na Amiri Jeshi Mkuu wa JMT
  9. Ng'wanamangilingili

    Kuhusu kuokoa penati

    Halafu wakadake penalt wapi
  10. Ng'wanamangilingili

    Taifa stars leo tunashinda na kusonga

    Kusonga ugali sawa
  11. Ng'wanamangilingili

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Kada kamanda comrade naona umehamisha goal sasa ama tuseme mashambulizi yako sasa kutokea kwenye wingers
  12. Ng'wanamangilingili

    SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    Wewe hujawahi pambana wewe mwanaume usiseme hivyo ukifukishwa duniani kupambana tu, yumkini huajwahi lala polisi wewe ama kwenda kwa sangoma chonganishi kama sivyo basi uwe unasali sana dua ibada
  13. Ng'wanamangilingili

    Refa aliyechezesha leo alikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria

    Review hapo Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
  14. Ng'wanamangilingili

    Je, Wanasimba tuendelee kufurahia ushindi wa mbeleko?

    Unasikilizia maumivu ukiwa wapi? Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
  15. Ng'wanamangilingili

    Ali Kamwe: Kocha wa APR anatakiwa kuomba msamaha hadharani

    Kwani huyu bwana amekuwa msemaji wa APR hadi amsemee kocha wake? Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom