Search results

  1. H

    RPC Mstaafu ameibuka mshindi wa kiti cha Uenyekiti wa CCM

    Kwa kuwa yanatokea CCM kweli hali ni mbaya,yalipofanyika ndani ya chama chetu pendwa kwa nafasi ya juu kuliko zote nchini yalikuwa maamuzi sahihi.Sisi kweli watu makini hatukosei ila washindani wetu hukosea daima.
  2. H

    Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

    Kama ambavyo pia haijawahi kutokea Tanzania mmoa wa wataalam wa tume ya uchaguzi akauwawa kinyama siku chache kabla ya uchaguzi.Shilingi ina pande mbili ukiangalia upande mmoa geuza uangalie upande wa pili. Tunawatakia amani Kenya,tusubiri matokeo na namna yao ya kuyapokea matokeo hayo.Sitamani...
  3. H

    Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    Umechagua fungu baya.Umeacha nuru ukachagua giza.Nuru ina nguvu na huruma kubwa ndiyo maana huko huko gizani uliko inakumulika na kukuonyesha mlango wa kutokea.Iache njia yako mbaya.Tunamshukuru MUNGU kwa kuwa amekutumia kutukumbusha na kutuonya..
  4. H

    Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    . Kwa aina hii ya misimamo yako JPM naachaje kukuheshimu? Uungwana si unafiki kuwafanya watu wacheke hata wasipohitaji kucheka.Ombi langu kwako kabla ya miaka yako 10 kuisha hakikisha katiba ya Mh.J.S.Warioba inakamilika na kuanza kutekelezwa,vinginevyo tutapata mrithi wako atakayebomoa kila...
  5. H

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    . Hivi kati ya JPM na Biblia kipi kinatakiwa kuwa na staha zaidi? Biblia ina mstari unaosema 'hata ukimtwanga mpumbavu pmoja na ngano katika kinu upabavu wake hautamtoka'' Mchangiaji mmoja kahoji swali la akili kubwa,Mh.Rais wetu kama uliteua wapumbavu wewe tukupe jina gani? Hatua muhimu kwa...
  6. H

    Haya Majadiliano ya Makinikia, Mbona Hata Updates Hatupewi?

    Tukipewa taarifa kuna wapuuzi wanayavuruga.Kuna timu ilitangaza sana hawatakuja.Tusubiri matokeo, taarifa itakuwa hadharani.Kikosi cha kihuni cha kujua serikali inafanya nini kwa nia yao ovu huibadilisha kama shetani alivyobadili maamuzi ya MUNGU na kumdanganya Hawa.
  7. H

    Rais Magufuli namuunga mkono: Viwanda vya Mwalimu lazima virudi!

    Wewe huwezi kudumu na mkeo wengine tunauwezo mkubwa wa kudumu nao.Unachokiona akilini mwako ndicho cha kwako.Unaamini huwezi hutaweza,tunaamini tunaweza ,daima tutaweza.
  8. H

    Rais Magufuli namuunga mkono: Viwanda vya Mwalimu lazima virudi!

    . Umekariri au unafikiri? ni kweli kuwa viwanda vingi vilikufa kwa sababu ya usimamizi dhaifu wa CCM na serikali kwa kipindi hicho.Wametambua kosa lao,wanakiri kosa lao.Wanachukua hatua kusahihisha. Ni ujinga kulima pamba na kuisafirisha kama ilivyo kwenda nje ya nchi halafu sisi tunakwenda...
  9. H

    Peter Kibatala: Mara chache sana Wakili humfuata Mteja, na ni mara chache sana Mteja huenda kwa Mawakili bila kuwafahamu

    Ni mpuuzi tu anayeweza kumfananisha mama yake mzazi na kibarua wake
  10. H

    Peter Kibatala: Mara chache sana Wakili humfuata Mteja, na ni mara chache sana Mteja huenda kwa Mawakili bila kuwafahamu

    Manji amueleze nani sababu za kumkata wakili msomi Kibatala? nani anapaswa kumlipa Kibatala kwenye kesi ya Manji,nani anapaswa kupima kiwango cha utoshelevu wa huduma ya Kibatala kwa Manji? Kama yupo anayestahili hayo kuliko Manji mwenyewe na amtake Manji aeleze sababu za kumkataa Kibatala.
  11. H

    Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

    . Akili yangu si ya kitumwa,haitumwi na yeyote isipokuwa na aliyeiumba.
  12. H

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Hayuko peke yake,katika jeshi la ushindi lililochujwa kwa maelekezo ya MUNGU kutoka 30,000,000 hadi 300 tu majina mengine yote huyaoni linaonekana jina moja tu. Joshua. Kabudi ana timu ya kutosha nyuma yake,ametangulizwa mbele kama Joshua.
  13. H

    Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

    . Kwa uzao wa shetani Tanzania hakuna amani.Kama amani ni kusubiri kupewa kila kitu bure ,hiyo amani haipo.Kama unataka kuishi kwa jasho lako Tanzaia ni zaidi ya nchi ya amani.Kama maandamano na mikutano ya kutwa Tanzania hakuna amani.Kama amani ni kucheza bao,darft,pool.kubet kutwa kucha...
  14. H

    Vijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo

    Hawawezi kuliita shamba pori kama unalihudumia.Kama hulihudumii unasubiri tu lipande bei linapaswa kuondolewa kwako na kuwapa watakaolitumia.
  15. H

    Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

    Naam kwa kipimo chako na aina ya ufahamu wako una akili kubwa ya matusi.Hongera.
  16. H

    Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

    He who knows not and knows that he knows not teach him,he is teachable. Mwalim wangu mmoja wa lugha alifundisha nani unaweza kumfundisha.
  17. H

    Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

    Kwa hiyo unaamini kuwa waganda ni wapumbavu kiasi cha kuwekeza kwenye fadhila,na Kenya ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuomba fadhila?
  18. H

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Shalom. Waambie hao uliotumwa kutuwakilisha uzungumze nao kama alivyowaambia Mfalme Daudi "Hawa wanataja magari,na hawa wanataa farasi ;Bali sisi tutalitaja jina la BWANA Mungu wetu" Zaburi 20:7 Nami nakuombea kwa Mungu wetu aseme nawe" Kwa kuwa watu hawa mia tatu ( badala ya elfu 30...
Back
Top Bottom