Search results

  1. Daghaseta

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Hivi ukoo wako ili udumu unahitaji mtoto wa kiume au wa kike? Mali zako ukiondoka duniani zintakiwa kuangaliwa na nani?
  2. Daghaseta

    Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    Mathayo David Mathayo mbunge wa Same magharibi.
  3. Daghaseta

    Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Inasaisia nini, akitoka huko anapata ajira au ni ushabiki kumuongezea miaka ya msoto!
  4. Daghaseta

    Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Nakubaluana nawe, mimi nilienda mwaka mmoja enzi zile, watoto wa kike walikuwa wanapata tabu sana, hasa afande akikutaka utateseka!
  5. Daghaseta

    Kukosekana kwa Mkaa wa kupikia Jijini Tanga

    Shusheni bei ya mbadala wa mkaa.
  6. Daghaseta

    Kukosekana kwa Mkaa wa kupikia Jijini Tanga

    Habari zenu wandugu. Tanga mjini mkaa haupatikani, watu wanahangaika na majumu kila kona. Makamu wa Rais alisema mkaa uzuiliwe bila kutuambia ipi itakuwa nishati mbadala. Je, huko kwenu hali ya mkaa wa kupikia ikoje?
  7. Daghaseta

    Afrika Kusini: Tutamkamata Putin akikanyaga ardhi ya Afrika Kusini

    Haiwezekani kabisa, na haikai ikatokea.
  8. Daghaseta

    Kwa wanaume, kufanya mapenzi kila siku hupunguza uwezekano wa kubebesha mimba?

    Safi. Kumbuka kuwa mshindo mmoja hutoa sperm zaidi ya milioni na inayotunga mimba ni moja au mbili. Wingi wa sperm siyo uwezo wa kutungisha mimba, hata ziwe chache ubora ni ule ule. Mshindo mmoja ukigawanywa vizuri unatungisha mimba zaidi ya mia tano.
  9. Daghaseta

    Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

    Nimeamini wewe ni SHOGA.
  10. Daghaseta

    Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

    Zamani sisi wapare tuliamini mapacha ni nuksi, hivyo mwanamke ukizaa pacha mkunga awamziba pumzi baadaye mnaambiwa siyo risk. HAIKUANDIKWA. Mwanamke akipata mimba kabla ya unyago anaitwa kigego, nyumba inatobolewa mlango kwa nyuma, akitoka unazibwa, kafukuzwa kwenye ukoo. HAIKUANDIKWA. Mtoto...
  11. Daghaseta

    Zawadi kwa Mwalimu

    Shule gani na mwaka upi!
  12. Daghaseta

    Kwanini sehemu nyingine jua linachelewa kuzama?

    Inawezekana wewe pia hujui unatudanganya kuwa unajua, tuambie basi unavyojua!
  13. Daghaseta

    Kwanini sehemu nyingine jua linachelewa kuzama?

    Ni vizuri kama unajua jambo uoneshe uelewa wako, sijaona shida hapa.
  14. Daghaseta

    Kwanini sehemu nyingine jua linachelewa kuzama?

    Mistari ya longitudo kutoka kaskazini kwenda kusini inatumika kupima saa. Kila degree 15 ni tofauti ya saa moja. Kama uko Dar inakadiriwa upo 39.21°E mashariki ya Greenwichi, Kigoma ipo 29.66°E mashariki ya Greenwichi tofauti yake ni karibu 10° hivyo kuna tofauti ya karibu saa moja.
  15. Daghaseta

    Kosa la Esau wa kwenye Biblia ni lipi?

    Ukumbumbe kuwa walikuwa wakigombana toka tumboni mwa mama yao, akaulini ni uzao gani huu, akaambiwa mataifa mawili yapo tumboni yanagombana. Wakati wa kuzaliwa Esau katangulia ila kabakisha mguu tumboni mwa mamaye. Kutika kashikwa kisigino na Yakobo. Ukishikwa kisigino wakati mnakimbia...
  16. Daghaseta

    Kosa la Esau wa kwenye Biblia ni lipi?

    Mimi naamini Mungu humpa kila mtu kwa anavyotaka, Yakobo alikuwa anakaa nyumbani akawa mfalme na tajiri sana. Lakini Adamu na hawa ahadi yao waishi milele, ila ikawekwa miti miwili , wa mema na mabaya na wa uzima wa milele, walipoula wa mema na mabaya kwa hila za shetani Mungu akaweka ulinzi...
  17. Daghaseta

    Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwani umri wa kukoma hedhi a.k.a kukoma kuzaa ni miaka mingapi?
  18. Daghaseta

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Hili siyo shamba la bibi, wavune huku sisi tusivune kwao, kama ni sheria basi ni mbovu.
  19. Daghaseta

    CCM ya sasa ni ya Kaskazini, Pwani na Unguja

    Acha upuzi wewe CHAWA, CHADEMA haina siasa za ukanda wala ukabila, ni UTAIFA tu.
Back
Top Bottom