Search results

  1. J

    Hukumu kesi ya Lema tarehe 21-12-2012

    Kila la kheri kamanda
  2. J

    Lema, Lissu na Nassari washambulia Arusha leo

    chanjeni mbuga tu makamanda,safi...watainama,watainuka,wataona hayaaa haooo!
  3. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kwa mliotumwa na huyu baba au vibaraka wa karibu wa huyu baba, habari ni hii: yawezekana ana mazuri yake, ila tukiweka kwenye mizani na tukapima hayo mazuri na mabaya, bakuli la mabaya yamkini ni zito zaidi. Sasa basi, tunamshukuru kwa jitihada zake mbali mbali za kusogeza maendeleo katika nchi...
  4. J

    Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

    Kuna mtu kama kailaumu sirikali kwamba ndio chanzo cha yeye kutojiamini..I hope sijamuelewa otherwise ni vapour moja kubwa,mwishowe utailaumu sirikali kwa ukurutu wako ilhali we mwenyewe ndo usiyeoga..puhleeeez!
  5. J

    Tulichambue Baraza la mawaziri la JK... Hili hapa toa maoni....

    kuna ambao ndo nimewaona sasa ivi kuwa ni mawaziri. vimeo vilivyoshindikana; makongoro(kwanza mwizi wa kura,list ya matatizo yake ni ndefu,kwa ufupi ni kichefuchefu) sophia simba(ni sawa kuwa na khadija kopa as a minister) hussein mwinyi(yupo alimradi apoteze muda kusubiri urais) ngeleja(huyu...
  6. J

    Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

    tumefika pabaya. hivi mpaka leo hii hamjajua kubenea yuko kwa maslahi ya kina nani?poleni be!
  7. J

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    viva chadema viva!sasa ni wakati wa kupembua mchele na chuya. shibuda??zitto a.k.a fisadi??? tafakari....chukua hatua
  8. J

    Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

    mandezi wengine utafikiri wote kwao ni moshi...lami mpaka vijijini etc, huyu jamaa unlike wanyaturu wengi, kafanya jitihada sana za kuendeleza kwao, mkoa wa singida kutoka kwenye umaskini uliopo unahitaji efforts za hawa wanayaturu wote waliojazana dar-es-salaam na kwingineko wanaosubiri kutia...
  9. J

    Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

    mi nilifikiri hili jambo lilishafutwa, kumbu kumbu zangu zinaniambia Msekwa alitoa tamko lililokuwa limetenganisha mahakama hii na serkali
  10. J

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    chadema; matendo yenu mengi nayaafiki lakini hili sina hakika nalo. mnakotaka kuipeleka nchi yetu wala siko:nono:
  11. J

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    baba wa watu ni civil servant aliyebobea.nyakati nyingine tunahitaji watu aina hiyo kwenye nafasi ya uwaziri mkuu
  12. J

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Nawasalimu wote. 1. Zitto is not as smart as people may think. Ni vuvuzela mzuri. Anahamaki, ana jazba na mara nyingi anashindwa kuwa objective. Anapenda kudandia lift za hoja ili kujijengea umaarufu. Kama kuna anayehitaji mifano arejee rekodi za vikao vya bunge 2005-2010. Sio mtu wa kukaa chini...
Back
Top Bottom