Search results

  1. B

    CHADEMA kuzindua kampeni za mbunge kesho Soko Kuu Arusha

    LAKINI angalieni hawa jamaa bhana angalieni sana wakati mmekaribia kuwazika kaburini waweza kukugeuza na kuchakachua ukaingia kaburini wewe. Uzoefu upo na ushahidi wa kugeuza hvyo upo . Angalia uchaguzi 2015
  2. B

    TBC na magazeti ya Serikali vishitakiwe

    [Vyombo hivyo vishitakiwe kwa nani? maana yake wale waliovitumia vibaya wakati wote wa kampeni na uchaguzi -Unilaterally ' ndo hao hao unawapelekea kesi utaweza! Tumepatikana!
  3. B

    Dr. Slaa kesho atasema nini?

    Jinsi dr Slaa anavyozidi kuongea na kujibu hoja mbalimbali sidhan kama anapata heshima anayoitafuta, atazidi kupoteza heshima...Hii ndivyo ilivyo historia ukijisemeasemea saaaaana, yaani unatumia nguvu nyingi kujitetea binafsi tu mwisho hata kama una hoja unapwaya tu unaanza kuonekana hovyo...
  4. B

    Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

    Lakin si mbaya kula ccm kulala UKAWA.. Kuna watu wako huko kwa masilahi ya kuchota na kula huko tu lakin wanalala UKAWA...haya, time will tell, not so long!
  5. B

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Ukabila,udini mnaosema ccm kwan unakuja tu wakati wa kampeni mkizidiwa? Hvi udini huo uko kwa vyama kama vyama na wagombea wake tu, mbona mtaani sioni udini huo. Acheni hizo vumilieni tu, Wananchi haya ndo yale ya zamani....Angalieni vita Rwanda, Burundi then wakamalizia Kenya! Acheni kutisha...
  6. B

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Ni issue ya kuelewa kuwa kama alisema hyo si ni sawa tu na mtu yeyote anataka kuwania kazi ya umma si ni lazima awe kwanza na support ya wa kwao kwanza then wanam-second kwa wa mbal. Si ndo maana watangaza nia walienda kuanzia nyumbani kwao, M akamba Jr alikuwa mojawapo , huo ulikuwa ukabila...
  7. B

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Hizo danganya toto za ccm za siku nyingi utafikiri wao ndo Mungu mwenyewe mwenye amani. Vita ataleta mtawala ndo mwenye silaha na mizinga
  8. B

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Nadhaani la zaidi anaonekana kama tu risasi ya mwisho la sisiem. Kama si chuki binafsi ni kitu gani, maana haionyeshi kama kweli anaongea kwa uchungu wa ufisadi... maana Escrow iilikuwa ya aina yake hela kusombwa kwa viroba ni zaid ya kwa aina yake yaweza kuwa ya muujiza zaidi kuliko richmond ya...
  9. B

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Nini kipya kimezungumzwa na Slaa? kimaantiki alimkubali Mh Lowasa.. eti masharti yke hayajatekelezwa. sasa kama yangetekelezwa maana yake hayo anayosema yasingekuwepo.. masharti hayo hayakuhusu richmond, yanahusu kwamaba aje na watu kutoka ccm aliyotaka yeye na ataje majina yao (Slaa). Na kwa...
  10. B

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    Madhara ya Dr Slaa niyaonayo mimi ni haya ya gafla dr slaa kugeuka na kuwa mtu hatari katika kipindi hiki nyeti sana anatonyesha vidonda vya udini. Kusema et Sumaye aliamuru askari kuingia msikiitini na mbwa n.k hii kutaka kuibua maswala ya udini. Sasa Waislamu waanze kujenga dhana kwamba huyo...
  11. B

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kwa kweli hakuna kipya kama alihusika kumkariribisha na alikuwepo kwenye mjadala wa NEC ya chdm alitakiwa asema hoja hzo cku ile. Na inaonekana kama kuna mkono dhahiri wa ccm kutupa karata zao za kupunguza speed ya upinzani. Nadhani haitakubalika.Gari limeishaondoka na liko speed 200 then dr...
  12. B

    Lowassa akishindwa urais, yafuatayo yatatokea...

    Umeacha moja uonekane una busara.Comrade Magufuli aakishindwa yeye inkuwaje na CCM yaake ?Je kutakuwepo ccm tena, Mafisadi wa ccm wanahaamia wapi? Je itarudi miaka hyo tena au ndo kwishinee? Je je, yale mambo yenye kutia shaka mfano kifo cha Mwangosi na wengine vitawafikisha wanasiasa wp? Mimi...
  13. B

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Acheni propaganda zisizokuwa na mashiko. Nasikia pia kuna watu wanalipwa humu ili cku nzima wakae kwenye mitandao humu ku-destabilize UKAWA. Nyie mnashindwa kuelewa hapa swala si UKAWA, ni watawala wameshindwa kuleta utawala unaohusu watu badala yake tz tumekuwa sasa na utawala wa vipandepande...
  14. B

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Nadhani ndivyo inavyotakiwa kuwa. cdm ni chama makini kwl kwl. Ni vizuri zaidi kutosubiri tatizo kuota mizizi. Hongereni sana. Wassira nadhaani anajua hilo kwa Esther Bulaya music mkubwa huo kwake- Ni oversize!.
  15. B

    Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Swaali kuu la kujiuliza: Hatujawahi kuzomeana hivyo kwa aina ya nguo uliyovaa kwa nini ni sasa?. Ni ishara tu kuwa watu wengi hisia zao zimebadilishwa kwa kukinaiwa na ufisadi, wizi, rushwa, watawala kutotembea kwa kile wanachokiongea. Ni kama watu waliopelekwa jikon wanasubiriwa sebuleni...
  16. B

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Mimi ningemshauri Comrade Kingunge ahamie UKAWA kwa sababu kuu mbili; Mosi; Kila binadamu anahitaji heshima, lakini nina imani kuwa kwa Kingunge CCM hawatampa hyo heshima tena, hata hawatakumbuka tena kuwa huyu mzee katika ujana na uzee wake akiwa TANU na hata CCM kuna wakati alikosa hata muda...
  17. B

    Mbowe na Lowassa yawezekana wakawa tatizo CHADEMA

    Kwa sasa tulikofika si kuangalia ni nyenzo gani inayotumika kuondoa mfumo wa wa kifisadi madarakani. Ni aina yoyote ile ya nguvu itakayokuwa na uwezo wa 'buibinduabindua' ccm ikatoka, no matter inatumia mtu yupi ni wazi kuwa nguvu hiyo haitapendwa na upande wa pili. . Sidhani kama kuna siku...
Back
Top Bottom