Search results

  1. K

    Mpira Wa Yanga na Simba kutegemea wafadhili badala ya wadhamini.

    Yanga Jana wameayaaga rasmi mashindano baada ya kufungwa mabao matatu Kwa sifuri, licha ya kujitahidi na kupata ushindi hapa nyumbani, ukiangalia tuu Kwa jicho pevu utaona yanga hawakuwa na maandalizi ya kutosha tangu mwanzo, wamepoteza mchezo Wa club bingwa dhidi ya ile timu ya Zambia kizembe...
  2. K

    Sibuka sio kila mtangazaji anaweza kutangaza mpira

    Mambo anayotufanyia mtangazaji Wa sibuka FM, in mambo ya ajabu anaacha kutangaza Mpira anatangaza matukio. Sio lazima kama hamna uzoefu Wa kutangaza Moira sio lazima mpekeke mtangazaji ni bora angekuwa anapiga cm kutulwtwa matokeo kulikokutangaza mile ningewashauli msieudie tena huu upuuzi...
Back
Top Bottom