Search results

  1. JAMII-ASM

    Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Swala la fleet commonality in kama hulijui.. Kimsingi Atcl itakuwa na ndege kutoka kampuni mbili tu. Bombardier na Boeing..elewa Dream liner ni Boeing 787..na Cs300 pamoja na Q400 hizi ni bombardier.Moja ni short range kwa ajili ya soko la east Africa..nyingine ni medium range kwa ajili ya...
  2. JAMII-ASM

    Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

    Erasto Mpemba effect..huyu kama angekuwa mzungu basi hata coca cola leo ingeitwa erasto cola.
  3. JAMII-ASM

    Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Cha kwanza akapime blood group ya mtoto , akiona zinafanana na ya kwake basi na apime DNA.
  4. JAMII-ASM

    Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Monotheism au kumuabudu Mungu mmoja haikuanza na waarabu au wayahudi..Ilianza Misri..chini ya utawala wa mume wa Nefertiti...yaani Akhenaten..yeye alivunja sanamu zote ..akajenga mji mpya ..akauita Akhetaten ...mji uitwao Amarna na waarabu wa ukoo wa Amran.. Akhenaten aliweka alama moja tu ya...
  5. JAMII-ASM

    Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......
  6. JAMII-ASM

    Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Si kweli..Neno FIRAUN ni kiarabu. Na kwa kifaransa ni PHARAON..!
  7. JAMII-ASM

    Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Hi ni hatari ni kama alama ya KEY OF THE NILE! THE ANKH.. Ni msalaba kabla Yesu hajazaliwa.
  8. JAMII-ASM

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Wengi wanaamini '' Mandela was a sell-out ''..kaacha waafrika wakiwa wanamiliki asilimia 30 ya ardhi ya babu zao. Suala la kuua weusi linafahamika na lina ushahidi mwingi.
  9. JAMII-ASM

    Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Great insight. Historia ya Africa bado inafichwa sana. Sababu kuu ni ubaguzi na kutoamini kuwa maendeleo ya kisayansi yalianzia Afrika.
  10. JAMII-ASM

    Rais Magufuli atinga benki ya CRDB leo asubuhi, azua taharuki

    Naona kaamua kwenda kuchukua mwenyewe.. Si unajua ..ukimtuma m'bongo hakawii kuweka cha juu.
  11. JAMII-ASM

    Tahadhari: Jihadharini na epukeni na huu mtandao wa peperonity ni hatari

    Hivi watanzania tuna matatizo ganii..yaani tukionywa hatutaki..tusipoonywa tunalalamika..ooh wanaojua kwanini hawakutustua.. Mi nafikiri wanaokupiga vita ni wadau flani wa hii kitu ..peperonity.
  12. JAMII-ASM

    Madishi ya Startimes yana channel za bure zaidi ya 30?

    This is great knowledge..thanks. ngoja nijaribu.
  13. JAMII-ASM

    DART yaiva, UDA yachomoza

    Kuna thread hii ..inaeleza jinsi serikali ilivyorejesha umiliki wake..tatizo naona ilikosa tafsiri..na hii thread ya kiingereza imedoda.. Why DART has delayed to operate: JPM
  14. JAMII-ASM

    Zilizovuja: Serikali ilifungua akaunti mpya ya siri ya Escrow yenye harufu ya kifisadi

    Usichanganye ishu..Mkopo wa wachina hauna uhusiano wowote na mkopo huu wa Stanbic ..yaani mkopo ambao ulisimamiwa na kina Kitilya..ingawaje fedha zote za wachina 1.225bilion dollars na mkopo wa Stanbic 600 mil. dollars zilielekezwa kwenye bomba hili. Labda unieleze kuwa mkopo wa wachina nao...
Back
Top Bottom