Search results

  1. bhachu

    TV4Sale Hisense TV smart inch 50 inauzwa

    Wakuu hisense TV nchi 50 inauzwa Smart TV Ultra HD Inapatikana kijitonyama,DSM TV ina miezi 11, haijawahi sumbua Inauzwa tsh 550,000 Mwenye uhitaji karibu PM tuyajenge
  2. bhachu

    Nahitaji Rear axle beam assembly ya Toyota IST second generation/new model

    Nahitaji Rear axle beam assembly ya Toyota IST second generation/new model....kwa mwenye Connection NB: Picha sio halisi
  3. bhachu

    [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1078][emoji1078][emoji1078][emoji91][emoji91][emoji91]

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Kongo, Mfalme JEAN BEDEL MPIANA wa TSHITUKA aka PAPAA CHERII aka MUKULU aka SOUVEREIN 1er aka BIN ADAM aka LEADER CHARISMATIQUE aka MOTO PAMBA ameamua kutuzawadia mashabiki zake na Albamu ya karne inaitwa "BELLE de MATCH" Albamu hii ina jumla ya Nyimbo 24, hii...
  4. bhachu

    Naomba connection kwa mtu yeyote anayeuza bampa la nyuma ya Toyota Ist second generation ya 2007

    Wakuu nlikua naomba connection kwa mtu yeyote anayeuza bampa la nyuma ya Toyota Ist second generation ya 2007, nlikula mkenge. Kwa ambaye ataweza niuzia au kunielekeza pakupata bampa jipya la nyuma nitashukuru sana.
  5. bhachu

    Msaada: Fundi kasema gari yangu ina shida ya Sensor

    Wadau naamini JF naweza pata msaada juu ya hili suala? Iko hivi kuna mkebe nimenunua hivi karibuni ila kuna kitu huwa nakiona kwenye dashboard huwa sikielewi, kitu chenyewe kinawaka kwa rangi ya "kijani" alafu yanatokea maandishi ya neno "ECO", kuna fundi nilimpelekea akanambia kuna shida...
  6. bhachu

    Iran: Moto mkubwa watokea katika kiwanda cha kusafisha Mafuta Iran

    Mda mfupi uliopita moto mkubwa umetokea katika kiwanda cha kusafisha mafuta Tehran-Iran, mpaka muda huu chanzo cha moto bado hakijajulikana wala majeruhi Hili tukio limetokea siku moja baada ya meli kubwa ya kivita ya iran kushika moto Massive Fire Breaks Out at Tehran’s Oil Refinery By IFP...
  7. bhachu

    Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

    Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran. Mpaka sasa...
Back
Top Bottom