Search results

  1. mtoto1980

    MWENYE DOMAIN MPYA ANISAIDIE

    xpau.se wamebadili domain yao.Mwenye mpya naomba Anisaidie.wapenda movie wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mtoto1980

    Wireless interrupted

    Naomba msaada kutatua tatizo hili.Natumia Sony Xperia z2. Nimekuwa nikiitumia miaka yote kuconnect wireless Internet kwenye pc yangu.Ila leo imegoma na kunitolea ujumbe huu hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtoto1980

    Tukutane hapa tuliowahi kuchapwa na waalimu kisa mapenzi shuleni

    Nakumbuka mwaka 2000 nikiwa kidato cha pili BULUBA SECONDARY kwa wale wa shy town mnanielewa.Nilikatongoza kabinti kazuri kalikuwa kidato cha kwanza.Kidume nikaimba mistari kuanzia tunatoka shule Mpaka namfikisha demu kwao.Nikajua mtoto kanielewa na mambo yanaenda vizuri.Kesho yake nipo class...
  4. mtoto1980

    Paul Makonda nimekuelewa vizuri

    Mh Makonda nimesikia maelezo yako kupitia clouds fm.Swala lako kuhusu Umoja uliouanzisha wa waendesha boda boda na jinsi mlivyojipanga kuanzisha kiwanda cha boda sembe. Kupitia michango ya wanachama 50,000@tsh 5,000=250,000,000 kwa mwezi.Kwa pesa hiyo naamini wanachama wanaweza kuanzisha...
Back
Top Bottom