Search results

  1. P

    Boniphace Jacob (Boni Yai): Mwenyekiti ajaye CHADEMA?

    Atapatikana mwenyekiti stahiki wakati ukifika na yeyote yule anaweza kuchaguliwa. Kwa sasa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio kipau mbele cha CDM sio uenyekiti.
  2. P

    Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Furaha itatoka wapi wakati bidhaa zote bei juu? Mjini foleni kibao na joto hili! Sehemu nyingi maji bado ni kitendawili. Shuleni michango ni kero tupu. Ada vyuoni kwa wasio na mikopo ndio usiseme. Trafiki nao kosa moja faini. Hospitali iwe ya serikali au binafsi foleni tu wagonjwa ni wengi...
  3. P

    Simpendi Halima Mdee, ila napenda misimamo na mawazo yake. Anafaa sana kuendelea kuwepo CHADEMA

    Kwa ufupi kabisa wakirudi CDM ndio mwisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo! Hii nchi yetu haitaendelea kwa mfumo uliopo kwa sababu watu hawajielewi, wamesoma lakini ni kama hawajaona darasa! Kisa ni kupigania tumbo lako na familia yako basi! Watu wengi sana wanateseka kula, kusomesha, shida...
  4. P

    Waandishi wa habari wafanye jitihada tupate video na picha tuone kama maji hayaingii kama wasemavyo TANESCO

    Mahitaji ya umeme ni makubwa shirika libuni miradi mbadala ya kutosha ili umeme uwepo kila siku suala la mgao halikubaliki miaka 62 baada ya Uhuru. Wasomi wetu hizo akili mnapeleka wapi? Hata wazo la umeme wa nuclear hatuna? Mbona wenzetu wa Kenya tayari wanapambania hilo? Uranium tunayo ya...
  5. P

    Sio CCM, Sio Rais Samia wala TANESCO wanaleta mvua, Umeme wetu ni Hydroelectric power tuvumilie inyeshe

    Inaudhi na inaumiza. Miaka nenda rudi tunashindwa kubuni njia za ziada za uzalishaji umeme ili kusiwe na mgao? Viongozi wananenepeana tu huku wananchi wanakosa umeme! Ni aibu kwa kweli. Tusingojee watu wa nje waje kututatulia matatizo yetu! Akili tunazo tuzitumie kujiletea maendeleo. Gesi. mkaa...
  6. P

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Utumiaji wa hizi barabara hautalipiwa sasa hawa Wachina wametupa msaada? Au ndio wameshapewa Selous wachimbe uranium yetu bure? Wenye access na hiyo mikataba embu someni mtufafanulie vizuri!!!
  7. P

    Tanroad Iringa, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Sisi wazalendo tunakubali kupewa kazi kwa bei ya mwajiri si tunayoijua itatosha kufanya kazi nzuri. Matokeo yake kazi inafanyika chini ya kiwango! Unajaza tenda yako unaitwa kwa mazungumzo unaambiwa bajeti iliyopo ni kiasi cha chini ya ulichojaza! unaulizwa utafanya ? Kwa sababu ya njaa...
  8. P

    Mkataba wa BANDARI dhidi ya DP WORLD hautaongezwa wala kupunguzwa herufi moja

    Wananchi tena tuliopata nafasi ya kuona darasa bado hatujitambui na ndio maana tunapelekeshwa kila kukicha! Madhara ya huu mkataba au makubaliano hayawezi kuonekana kwa sasa. Wale weledi wameshatambua kuwa huko mbeleni kutaleta shida sana na kujinasua itakuwa sio rahisi. Hata Loliondo baadaye...
  9. P

    Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

    Kwenye ukweli nuru hutawala. Penye kasoro giza hunyemelea. Ni suala la muda tu Mungu atatupa majibu ya kinachoendelea. Yeyote aliyekula kiapo atende kadri ya kiapo chake. Wananchi tumlilie Mungu kwani yupo na anatenda.
  10. P

    Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

    Yaani serikali inaruhusu Wachina kununua ardhi? Tumekwisha! Katiba mpya ije mapema maana wajukuu zetu watakuwa wanalala barabarani
  11. P

    Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Pamoja na genetics lakini ubongo ukipata lishe ya samaki akili inachemka! Kulenu samaki muone mtavyo faulu mitihani na maisha kwa ujumla!
  12. P

    Asilimia kubwa Mabilionea wetu hapa Tanzania hawana tofauti na wamachinga

    Usiweke mayai yako ndani ya kikapu kimoja!
  13. P

    Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Pamoja na kuwekeza kwa wanyonge hilo tayari ni kosa kwa Muumba wetu. Mnawafanya watu wanyonge ili wawape kura? Isitoshe sijui kama unajua wizi ulivyofanyika! Bao la mkono la Bwana Nape si unalikumbuka? Mimi nasema aliyeshinda kwa haki apewe ushindi wake awe CCM au chama kingine lakini figisu...
  14. P

    Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Jamani tunaangamia kwa kukosa maarifa. Tabia ya nchi ikibadilika na sisi tunapaswa tuwe tayari kubadilika nayo. Wasomi wetu mahiri wako wapi? Tabia ya watu nayo ibadilike maana ushoga unavyosambaa kwa kasi ndivyo ukame unazidi. Tutubu makosa tuliyofanya katika uchaguzi wa 2020 maana kwa sasa...
  15. P

    Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Tatizo la maji ni shida ya muda mrefu. Serikali haijaona umuhimu wa kupambana na hii hali kwa sababu ikifika uchaguzi wale wale ambao hawapati maji wanawachagua viongozi wale wale walioshindwa kuwapatia maji licha ya ahadi lukuki! Umuhimu wa katiba mpya unapaswa uangalie hii hali. Kuwe na...
  16. P

    Tangu Mbowe atoke lupango hakuna tena upinzani, wote tuna macho na tunaona kinachoendelea

    Mwenye njia mbadala tofauti na TOZO atuambie ili tulifanyie kazi. TOZO zimekuja na zitaendelea kuja kwa sababu serikali haina mtaji wa kutosha. Je njia nyingine ya serikali kupata pesa ni ipi? Au serikali ipunguze nini katika mipango yake ili kutunusuru sisi? Upinzani sio lazima kiongozi ndio...
  17. P

    Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Tunapopinga tozo tuje na njia mbadala wa kuongeza mapato ya serikali! Hii ni kwa sababu serikali ina mipango mingi ya maendeleo kwa sasa na yote ni ya muhimu. Labda tuishauri serikali iangalie kama kuna miradi ambayo inaweza kusubiri kidogo maana hili pigo sio la kawaida. Wananchi tuna njaa...
  18. P

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Mleta uzi ameuliza swali la msingi sana na anastahili majibu sahihi. Kisheria kuna umbali unaotakiwa uachwe na kila mwenye kiwanja kutoka kwenye uzio hadi ukuta wa nyumba. Na sababu zake zinajulikana; kwani kuna huduma zinapitaga kwenye hayo maeneo na vile vile usalama kati ya jirani na jirani...
  19. P

    Hivi Uchagani watu wanafundishwa nini kuhusu Pesa?

    Hakuna jipya zaidi ya kujua thamani ya pesa. Kila mtu anatakiwa awe na pesa ya kula chakula kizuri, kulala mahali pazuri pa kwako, kuvaa vizuri na usafiri wa uhakika (sio lazima uwe na gaari ila uwe na uwezo wa kusafiri popote kutafuta pesa). Kwa vile wazazi wa Kichagga wanajua hilo hatua ya...
  20. P

    Tanesco: wateule wa Rushwa

    Hii bado haisadii au haitaondoa tatizo. Lengo lake kuandika hapa ni kutaka menejiment ya TANESCO iondoe huu ukiritimba wa kuambiwa jiongeze ndio upatiwe huduma! Mnatakiwa muwe na malengo ya wiki, mwezi na mwaka ya kuwa mtawapatia wananchi wangapi umeme kimkoa na kiwilaya. Na msibague afisa na...
Back
Top Bottom