Search results

  1. V

    Hivi unajitambua kweli?

    Wadau nisaidieni. Inakuaje au unafanyaje ili uweze kujitambua! Kwa maana nyingine, mtu anaejitambua yukoje? maana kuna watu wengine wana maringo kinoma, je ni mojawapo ya sehemu/dalili za kujitambua? Naombeni michango yenu. Tutiririke wakuu.
  2. V

    Ukitaka kutoka kimaisha lazima ufanye/upitie yafuatayo

    hi everybody.... Kiukweli maisha yana formula, na kuna vitu ambavyo lazima ufanye ili utoke. baadhi ni; 1. Kumuomba MUNGU 2. Kufanya kazi kwa bidii 3. Kuwa na roho ngumu 4. Kuwa mvumilivu 5. kupunguza bata (ubahili) 6. kuweka mapenzi pembeni Haya ni baadhi, hebu tupia vingine...
  3. V

    Natafuta chartmate

    Nina mawazo sana juu ya maisha, anayejickia kuchart anipm 2badilishane mawazo mawili ma3. regards am "me" ur welcome "ke".
  4. V

    Natafuta mpenzi wa kike, nimechoka upweke

    kama we ni mdada, unahisi unajiamini na ni mtu mzima unaejielewa (i mean +18). na unahitaji kuwa kwenye mahusiano yaliyo serious, umri usizidi miaka 28. plz nipm. nota bene; kama haikuhusu pita kimya kimya. bt kama upo tayari plz nitxt pm. npo criaz. be blexed.
  5. V

    Hodi JF

    Niaje watu wa MUNGU! kichwa kama kichwa kilivyo, nadhani kinaeleweka. Nina kawiki hivi ila nlisahau kujitambulisha wakuu, tupo pamoja.
Back
Top Bottom