Search results

  1. peoples power

    BONAG HOTEL & RESORT OPENING SOON AT KILUVYA GOGONi

    Hotel nzuri na ya kisas itafunguliwa hivi karibuni karibuni wanajamvi:kuna vyumba vya kulala,self contain,bwawa la kuogelea,michezo ya watoto,pamoja na club ya kisasa kabisa karibuni sana!
  2. peoples power

    Je mwanamke aliye fanyiwa upasaji na kukatwa milija yake yakupevusha mayai anaweza kupata hedhi

    Hodi hapa ndani kwenu madakitali napenda nieleweshye kama mwanamke aliye wahi kufanyiwa upasuaji na kuondolewa milja yake yote miwili anaweza akapata siku zake kama kwaida.Naomba mnijuze tafadhali.
  3. peoples power

    Bus la Greenstar kimeo limekwama chalinze.

    Abiria wanao safiri na greenstar kutoka Dar kwenda Mwanza mpaka muda huwa wamekwama Chalinze polisi halafu hakuna juhudi zozote zinazofanya kuwakwamua hapo.Kama biashara ya wakati ule ya Scandinavia iliwashinda sijui kama mtaweza zama hizi.
  4. peoples power

    Hospitali ya mkoa songea ni kituko

    Sijawahi kuona na wala sikutegemea,nifika jana hapa hospitali ya mkoa songea jana usiku kumleta mgonjwa kitu tulicho kutana nacho nicha kusikitisha sana.kwa hospitali kubwa kama hii huwezi kuamini kuna daktari mmoja tu wa zamu sijui hii imekaaje,ni hatari sana kwa watanzania masikini.
  5. peoples power

    Tigo ni matatizo matupu jamani

    Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
Back
Top Bottom