Search results

  1. M

    Dr. Slaa, Mbowe na wengine wote walioshikwa na polisi waachiwa

    Haya ndio mazuzu aliyosema hayati Baba wa taifa...
  2. M

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Mgombea Idadi ya Kura % Mziray Petter 96633 1.12% Kikwete 5276827 61.17% Slaa Petter 2271941 26.34% Lipumba 695667 8.06% Rungwe 26388 0.31% Mgaywa 17488 0.20% Dovutw 13176 0.15%
  3. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Hii ni kweli? Eti Lowasa na Chenge wamechukua form za kugombea uspeaker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa TZ? Na kama ni kweli, ni nini mustakabali wa taifa hili endapo mmoja wao atafanikiwa kuwa speaker?
  4. M

    Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    Mimi simfananishi na Martin Luther King, ila naomba niseme Dr. Wilbrod Slaa ni Jiwe kuu la pembeni lililokataliwa na waashi, kama tunavyosoma katika vitabu vitakatifu.....
  5. M

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    Whatever it is, inaonesha ni jinsi gani CCM hawako serious na maslahi ya inchi.. Haiwezekani mtu ambaye amepewa urai, afikie hatua ya kupewa madaraka makuba kama aliyonayo Kinana. Ukizingatia ni msomali, potelea mbali hata kama nitaonekana ni mbaguzi. Lakini msomali si wa kumpa nafasi ya juu...
  6. M

    Elections 2010 Wabunge waliokwisha tangazwa RASMI na Tume ya Uchaguzi...

    Kwa mwenye data kamili, mpaka sasa ni majimbo mangapi yameshachukuliwa na wapinzani? Maana jana Kinana alisema ni majimbo 29 bara ccm wamepoteza na 22 visiwani... Je idadi ni hiyo kweli????
  7. M

    Elections 2010 Hivi Baraza la Mawaziri la Kikwete kama akishinda litakuwaje?

    Si ajabu akamrudisha Lowasa...Maana hana watu....
  8. M

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Hebu tupeane taarifa za Segerea jamani, maana kimya kimezidi sana....
  9. M

    Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Yeah, ni kweli ni vizuri tukatoa habari ambazo ni confirmed, tusije tukaanza kushangilia kitu ambacho hatuna uhakika nacho...baadaye inauma sana...hasa pale tunapongundua habari haikuwa ya ukweli..lets be serious..
  10. M

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Ninasha kama ni real huyu jamaa....
  11. M

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Taratibu Kaka....ina maana Dar inarindima na CHADEMA??
  12. M

    Elections 2010 Tunamuomba Mbowe Aje Kawe

    Kama Mbowe na Ndesamburo waliend Arusha mjini kuokoa jahazi, kwa nini Mbowe asije Dar kuokoa jahazi la Kawe kabla halijazamishwa?
  13. M

    Elections 2010 Kawe Kulikoni

    Jamani hakuna mwenye habari yoyote kutoka Kawe? Mama anahitaji support,
Back
Top Bottom