Search results

  1. Bensonben

    Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Salamu, Mimi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, lakini pia nina degree moja ya Mambo haya ya ujenzi naandika uzi huu kuomba ushauri kutokana na kile kinachonisumbua na pengne kinanifanya nashindwa kufanya maamuzi na hasa nikiangalia soko la ajira lilivyo. Nafanya kazi hapa Dar ila family...
  2. Bensonben

    Msaada: Naomba kusaidiwa kupata kazi, ninaweza kufanya kazi za ujenzi

    Wakuu habari za majukumu... Naombeni msaada niweze kupata kazi me ni graduate 2013, ukadiliaji majenzi (qs). Ninauzoefu wa kufanya kazi hizi za ujenzi kwa muda mrefu Nilisimama kufanya kazi kwa takriban miezi nane sababu ya kushughulikia afya ya mke alipata matatzo katika uzazi hvyo kwa sasa...
  3. Bensonben

    Toyota vitz inahitajika

    Nina 3.5M nahitaji used Toyota vtz ya 2005
  4. Bensonben

    Nimeokota

    Nimeokota Samsung s5 leo kwenye daladala.. ni nyeusi, ina 32gb pia ina cover black ..kama umeipoteza please niinbox mana naitaji charger
Back
Top Bottom