Search results

  1. Bensonben

    Wale samaki wa Hayati Magufuli walikuwa watamu sijapata ona

    Nakumbuka walituletea pale Minaki High school hao samaki aisee tuliharisha siku tatu mfululizo shule nzima siji sahau aisee R.I.p jiwe
  2. Bensonben

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu nahitaji hii show ya qx 110 complete na tv yake....bei gan
  3. Bensonben

    Serikali ruhusuni wahitimu wa kada ya elimu kuajiriwa sekta nyingine mfano uafisa mtendaji wa kijiji, maafisa maendeleo etc.

    Daaaaah hivi ni kwann wanaopewa kipaumbele ni walim na watu wa afya pekee yao!! Mbona kila kada ina watu kibao tu mitaani huko hawana ajira!
  4. Bensonben

    Watanzania tuache Lawama.

    Asilimia kubwa ya watumishi wa umma walikua wanafanya kazi kwa maelekezo ya mwendazake...ndio maana mwendazake hawezi kwepa lawama hizi
  5. Bensonben

    Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Ubarikiwe Sana mkuu
  6. Bensonben

    Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Shukrani kwa ushauri mkuu.
  7. Bensonben

    Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Salamu, Mimi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, lakini pia nina degree moja ya Mambo haya ya ujenzi naandika uzi huu kuomba ushauri kutokana na kile kinachonisumbua na pengne kinanifanya nashindwa kufanya maamuzi na hasa nikiangalia soko la ajira lilivyo. Nafanya kazi hapa Dar ila family...
  8. Bensonben

    Tusitishane!

    Mda utaongea.........chukua taadhali hii kitu ni balaa aise.
  9. Bensonben

    Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    naomba niione hyo minlaptop bytspeed. Regard.
  10. Bensonben

    Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Kama Dodoma mbeya kuna 620km inawezekanaje mwanza mbeya iwe 920km ??labda kama kuna njia nyngne Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bensonben

    Kesi ya Bilionea Msuya yakwama. Mtoto wa marehemu ataka aombewe

    Huyu dogo nae mjinga sana hajiulizi kwann mama yake alimuua wifi yake??? Ajiulize hili swali na atafakali kwa umakini sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bensonben

    Ogopa sana majira ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na moja alfajiri ni hatari

    Daah sasa mkuu ushahalibu hali ya hewa ndani hakulaliki tena
Back
Top Bottom