Search results

  1. F

    Love

    ................................................................... Na mvamizi ni wewe, hivi haujasoma jina la mlango wa maada za hapa?
  2. F

    hivi kumbwelambwela ndio kufanyeje?

    Ninavyoelewa mimi KUMBWELAMBWELA ni kujibaraguza, kuzurula, kutokuwa na sababu au malengo ya kufanya jambo fulani.
  3. F

    Maana/Tafsiri ya Neno Mfawidhi

    ......................................... ni wewe tu ambaye hawezi kukuelewa
  4. F

    Maana ya neno "CHAKACHUA"

    NINAVYOFAHAMU MIMI Neno "chakachua" tayari ni neno sanifu la kiswahili na lilianza kupata umaarufu baada ya EWURA kuanzisha kampeni kabambe ya kudhibiti vitendo vya kuchakachua mafuta hususani petroli. Neno hilo linamaanisha kuchanganya kemikali (material) mbili tofauti au zaidi ili kupata...
  5. F

    Nani Mwanzilishi wa Neno "Kuchakachua"Liwekwe kwenye Kamusi?

    \ ................................................................................................................... KWA WALE AMBAO WANGEPENDA KUFAHAMU Neno "chakachua" tayari ni neno sanifu la kiswahili na lilianza kupata umaarufu baada ya EWURA kuanzisha kampeni kabambe ya kudhibiti...
Back
Top Bottom