Wakuu wenye uzoefu kwenye hili suala la gutter, naomba mnijuze wapi nitazipata gutter zenye ubora/ngumu? Bei yake nayo ipoje? Kuna brand maalumu ambayo ni imara zaidi ya nyingine?
Kuubadili mfumo wa taa kutoka AC kwenda DC kutahitaji kifaa gani? Wire itabidi ubadilike? Nahitaji kujua hiyo gharama ya ziadi itakuwaje
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante mkuu,
Hivi mfumo mzuri ni upi kati ya AC na DC kwa maana ya kuwasha taa kwa muda mrefu. Watumiaji wa solar wanaweza tuambia hili kwa uhakika zaidi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu wiring imeshafanyika ya kawaida sasa sijajua kama itaendana na mfumo wa DC. Kwahiyo nilikuwa nafikiri itabakia AC.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakuu miye nahitaji solar ambayo inaweza kuwasha TV yenye kisogo ya inchi 32, taa 16, pasi ya solar na redio kubwa. Sijajua nahitajika ninunue panel ya ukubwa gani, inverta na betri ya ukubwa gani? Charge control pia zinatofautiana ukubwa? Tafadhali mwenye ujuzi katika hili
Ndugu yangu ChiefmTz hayo matatizo yapo hasa ofisi ya kanda ya mashariki, i mean Dar. Head office-Dodoma hakuna shida, huduma zao utazipenda, ila huku kwenye kanda ndo kwenye vimungu mtu. Najua inawezekana ikawa sababu ya kazi za kujuana ndo maana wanaona hakuna wa kuwawajibisha. Kazi mtu...
Ndugu yangu ChiefmTz hope umemsikia ndugu tofali naye anachokisema. Nakumbuka kuna siku mfanyakazi aliyekuwa ananihudumia alishaniacha kwenye meza yake namngojea, kumbe yeye katimkia mjini kwenye mambo yako.
Amini usiamini huu ni mwezi wa sita sasa naambiwa file langu lipo kwenye stage nzuri ya malipo na litalipwa muda wowote. Haya nilianza kuambiwa toka mwezi wa pili, mpaka sasa mwezi wa sita.
Kama mwenzangu ulipata (au unafanya kazi hapo), shukuru ila wengine tunajiuliza kama hii hela ndogo...
Mkuu nami nina tatizo na modem yangu. Awali ilikuwa inaunga ila sasa inapata moto sana na haikubali tena kuunga net. Wataalamu tujuzeni kama ndo ishaungua niitupe au kuna jinsi ya kuitengeneza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.