Search results

  1. J

    Elections 2010 SUGU kutowatetea wasanii mjengoni mana wengi NI CCM?

    ]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?
  2. J

    Elections 2010 KINA MAMA CCM: Nakaaya kaleta nuksi tu hana chake hapa

    Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni kwani wao wenyewe wana msururu wa watu wengi na kwamba hata kungekuwa na nafasi 50 asingepata, mmoja...
  3. J

    Elections 2010 Semina vijijini

    Wana jf mnaonaje tukitengeneza grouops kutembelea vijijini ili kutoa elimu ya uraia, na kuwa wezesha wananchi walio kosa elimu hiyo kuwa nayo, nadhani ndio yatakuwa mapinduzi ya kweli, ili raia wajue kiongozi bora na nini anatakiwa kufanyiwa na kiongozi wake..ila kama itawezekana tuanze baada ya...
Back
Top Bottom