Search results

  1. M

    Natafuta housegirl

    pole mpenzi hata mimi nilikuwa na shida kama yako. jaribu kuwasiliana na mawalala wanaowaketa kutoka kijijini utapata.
  2. M

    Nafasi ya kazi ya mwanasheria

    asante. but cjaelewa 'pm' ni nini
  3. M

    Nafasi ya kazi ya mwanasheria

    Wanajamii nisaidieni kutafuta kazi ya uwanasheria. mimi nina Degree ya sheria toka Chuo kikuu cha Dar es Salaam pia nimepita Law school of Tanzania. yoyote atakaepata tuwasiliane kwa namba 0787559619
  4. M

    Nafasi ya kazi ya msichana wa kazi za ndani

    mke ni mke na housgirl anasimama katika nafasi yake:yawn:
  5. M

    Nafasi ya kazi ya msichana wa kazi za ndani

    mimi nimeolewa na nina mtoto mmoja wa miaka 2 nakaa Sinza. nahitaji msichana wa kazi a.k.a Housegirl. ple wapendwA nipo seliasi. wasiliana nami 0713775173
  6. M

    Nafasi ya kazi ya msichana wa kazi za ndani

    Nahitaji msichana wa kazi za ndani awe mchapakazi umri usizidi 21 awe mkristo atakuwa anakaa kwangu Mshahara maelewano atakaempata awasiliane nami kwa namba 0713 775173
  7. M

    Nyumba ya kupangisha inahitajika

    ipo moja hapa sinza vaticani ina vyumba vitatu, sebule jiko. choo na bafu viko nje, fensi na paking ipo. sh 200,000 kwa mwezi. kodi ya mwaka inahitajika.
  8. M

    Nahitaji nyumba ya kupanga

    Wanajamii nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama au kinondoni. Kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173 au 0757818564
  9. M

    Elections 2010 Saa 10:00 ikifika: Twendeni tukalinde kura

    upo sawa kijana solidality forever!
  10. M

    nyumba ya kupagisha inahitajika

    thank nitakutafuta
  11. M

    nyumba ya kupagisha inahitajika

    nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge au kijitonyama. vyumba vitatu vya kulala, jiko, dinining room, choo cha ndani. kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173
Back
Top Bottom