Search results

  1. garikicah

    Mkanganyiko kuhusu reli ya kati

    Wadau tafadhali tuwekane sawa kuhusu ujenzi hii reli ya kati km 1216, nimeona news kuwa serikali imetenga tilioni moja bajeti ijayo ya kuanza ujenzi wa reli, pia mchina ka pledge kuwa bega kwa bega kuhakikisha anasaidia ujenzi huu, refer 'michuzi blog' lakini awali tuliambiwa Rothschild yuko...
  2. garikicah

    Matatizo yetu kama jamii ni zaidi ya Katiba

    hivi ni kweli kwamba matatizo yetu yote tuliyonayo ni sababu ya katiba? na ni kweli kwamba katiba tuliyo nayo haitoi maelekezo ya nini cha kufanya juu ya rushwa na ufisadi? hivi tukipata katiba mpya haya yote, hatutayasikia kabisa na sasa itakuwa ni neema tu?.........there is a spritual...
Back
Top Bottom