Search results

  1. The Technologist

    Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Achana na mawazo ya kumloga mshindani wako mkuu, ukienda Kwa mganga safisha nyota Yako weka sawa biashara Yako. Mshindani wako (ikiwa hakulogi ama kukufanyia mabaya) huyo ndio atakufanya uwe imara zaidi. Huwezi kuepuka ushindani na kuiga.
  2. The Technologist

    Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Pole sana ndugu... Achana na habari ya kutupiwa kipande kwanza Una tatizo Moja kati ya haya mawili 1.Kifungo Ama 2.Una uchawi umelishwa shughulikia Hilo. Though I'm a Christian, ila usipende kuwaamini sana watu wa Kanisani...
  3. The Technologist

    Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Mkuu sidhani huyo kama ni msukuma. Haji na mganga Ili ambebee dawa ila mganga anakuja kuzindika hapo mnapoishi. Kaambiwa kuna wanga wanawasumbua ndio sababu. Inaonekana kuna watu wanawapiga faraka. Dawa ya kukudhuru sio lazima mganga aibebe. Ataibeba mke wako na atakuwekea bila KUJUA.
  4. The Technologist

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Angalia kama kuna mwanamke alikupenda sana na wewe hukumpenda case Yako itaanzia hapo...
  5. The Technologist

    Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Acheni kudiscourage vijana wanaopambana, unajua huku Africa mambo hovyo Kila mtu ni kuingiza fitna katika Kila jambo... Mkuu wewe pambana nenda na Facebook, na Instagram uwe na official page utatoboa, kuwa na Imani sali sana utatoboa. Kumbuka Ili ufanikiwe ukiwa Africa haitegemei ufanisi wala...
  6. The Technologist

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Mkuu umetekwa katika ulimwengu wa kiroho, huyo Mwanamke na mama yake wote ni wachawi, Umefungwa. Ni wachawi japo ukisoma post yangu utadharau maneno yangu.
  7. The Technologist

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Huu ni ukweli mtupu...!!!
  8. The Technologist

    Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

    Wanalipa au wanatoweka kabla ya kulipa?
  9. The Technologist

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    Unajua kuna tatizo linalowapata watu wenye UTAJIRI wa akili, kuamini Kila mtu anawapenda, kuamini wako salama wakati wote, kuamini hakuna ubaya utawapata. Wasiwasi na mashaka ni tabia nzuri sana japo wengi huzipuuza. Binadamu huumia mwenzake kupata kitu Cha thamani, na huumia zaidi kuona yule...
  10. The Technologist

    Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

    Mtafutieni mafuta ya mzeituni hayatalitoa ila yatalituliza ajipake na kunywa asubuhi na jioni. Akiweza Kwa kujipaka achanganye na vitunguu swaumu vilivyotwangwa. Atapata afueni kubwa. Kumtoa jini mara nyingi itahusisha kafara la Damu, Kwa hivyo ukienda Kwa mganga akakuagiza mnyama kuna...
  11. The Technologist

    Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

    Hii inaitwa "kufa kabla hujafa!"
  12. The Technologist

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Sasa Baba mkwe mchimbaji wa madini alafu unalalamika. Mchimbaji akili zake si zinajulikana?
  13. The Technologist

    Mungu anatupenda wote kuliko kitu chochote lakini mwisho wa Siku atatuchoma moto baadhi

    Hv mtu atese wenzake Kwa kuwaua, ama kuwaloga ama kuwauzia madawa ya kulevya. Ama mtu anachezea wanawake hovyo na mengineyo, Alafu useme sio sahihi kuadhibiwa. Mbona haupingi uwepo wa mahakama na magereza za hapa duniani?
  14. The Technologist

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Mkuu DeepPond ond tafuta asali mbichi uwe unalamba Kila asubuhi umsahau huyo Mwanamke Mbona atakupeleka pabaya...
  15. The Technologist

    Unatumia mbinu gani Kuishi na mwanamke na huna hela?? Nataka Nianze kuishi na mchumba wangu wa muda mrefu ila sina hela

    Ninachoona hapa wewe ni mvivu, hupendi kujituma... Ukiliacha Hilo unaufuta na huu Uzi.
  16. The Technologist

    Kuna nguvu ya roho mchafu kwenye vitabu vya wazungu

    Mleta mada umeleta mada ambayo Ina mambo mawili yanasigana, 1.Umesema mzungu HAWEZI kukuandikia kitabu Ili ufanikiwe (Nakubaliana na wewe, lakini mafanikio ya aina yoyote ni lazima yahusishe ulaghai wa maarifa. Kwa hivyo ni kweli hakuna mtu atakufundisha kufanikiwa. 2.Umesema wanasansi...
  17. The Technologist

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Mkuu Kuwa makini sana, sana tena sana na mtu anayekuonesha waziwazi kuwa anakuogopa. Baadae utakuja kuniambia hukunielewa...
Back
Top Bottom