Search results

  1. D

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya matukio na kuonyesha usiku. Kama mtanzania, unadhani unatendewa haki?
  2. D

    Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    Hakuna Kula Hakuna Kulala Mpaka WABAGUZI wanang'oka
  3. D

    Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

    Tumechoshwa na mipasho ya CCM kama bendi ya taarab. Kila siku habari ni hiyo hiyo. Hamna jipya. KAMA FISADI MPELEKENI MAHAKAMANI
  4. D

    Natafuta wa kubadilishana maeneo ya kazi

    Anatafuta wa kubadilishana Ni mwalimu wa shule ya msingi... Nipo Wilaya ya Temeke.... Natafuta mtu wa kubadilishana maeneo ya kazi... Nahitaji kuhamia Wilaya ya Kinondoni. Wasiliana na namba hii 0718043983
  5. D

    WAMEZOEA KUHARIBU BAADAE WAOMBE MSAMAHA

    Chama kinachofanya siasa za kibaguzi, hakifai kuongoza wananchi... HAKUNA CHOTARA HAKUNA MWAAFRIKA WOTE WAZANZIBARI
  6. D

    Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

    UBAGUZI! UBAGUZI! UBAGUZI!
  7. D

    Tanzania kuna Demokrasia

    Kama NDIO tetea jibu lako Kama HAPANA tetea jibu lako
  8. D

    Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke

    Wamejitekenya wenyewe Wamecheka wenyewe Waliovamia shamba la Sumaye waondolewa =================== Chanzo: Mwananchi
  9. D

    Ni mwendo wa visasi tu

    Tutakumbuka mengi...
  10. D

    UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    Mbona hujiulizi kwanini atangazi Baraza la Mawaziri mpaka sasa? Siasa mchezo wa kuviziana... Tulia usikie wanakuja na lipi. Akili za kubemendwa sio wakati wake huu
  11. D

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Kati ya sherehe za Uhuru na Mwenge wa Uhuru, Kipi kilistahili kuzuiliwa?
  12. D

    Mama John Pombe azungumza na wanawake wa Chato

    Picha tumwone
  13. D

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Nasikia sikia kelele nyingi Richmond... Richmond... Richmond ndio nani? Na sio mimi peke yangu, tupo wengi hatuelewi mnachozungumzia. Mnatupigia tu kelele na chuki zenu binafsi. Mnaacha kuzungumzia Escrow ambayo ilivuma siku za hivi karibuni, nyinyi mmeng'ang'ania zilipendwa. Watu wamebeba...
  14. D

    Mama Regina Lowassa

    Ndiye aliyejitokeza Wengine wamejificha
  15. D

    Mama Regina Lowassa

    Haina ubishi
  16. D

    Mama Regina Lowassa

    Mwanamke mwenye mvuto, anayejiamini Mtetezi na msemaji wa Wanawake Mtetezi wa Walalahoi Anayekubalika kila kona
  17. D

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mabadiliko huwa hayaji hivi hivi. Mabadiliko yanapitia katika wakati mgumu. Ndugu wananchi, Hiki ni kipindi kigumu sana cha kutafuta mabadiliko ya nchi yetu. Yatasemwa mengi, Tuyapuuze! Katika safari yetu kuna wengine wameshuka na wengine wamepanda na watapanda. Nayasema haya lakini roho...
Back
Top Bottom