Search results

  1. startergear

    Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

    Mbona ukitaka kujiua kwa hiyari halafu ukaponea chupuchupu mbona wanakushtaki?
  2. startergear

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kumbe source ni huyo? Ulitegemea asemaje?
  3. startergear

    TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

    Ana miaka michache kuliko wote! Hapo juu ya shingo umebeba gunia la pumba Nini?
  4. startergear

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Si mmebeba debe la kupepetea midomo hapo juu ya kichwa? Acha wawanyonye tangu kuumbwa ulimwengu mwenye akili ndo humtawala ndondocha
  5. startergear

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Hizi kamba muwe mnaangalia kwa kudanganyia miaka elfu saba ina maana takribani 5000BC hapakuwa na taifa la wayahudi wakati huo.
  6. startergear

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Kuna wajanja wanajua tusiyoyajua mwanya kidogo tu anapigia humohumo Kabla ya kuibuliwa bungeni uliijua ESCROW ? Kwa hiyo tusibishe
  7. startergear

    Vipi kama Makonda anatengenezwa kwa kazi maalum?

    Oya wapinzani wanaokota kila kitu kikitupwa na ccm Imagine Lowassa walimpaka Kila Aina ya tope akawapa madodoki wakaanza kumsafisha
  8. startergear

    The are no other words to describe the state of Israel, except that It is barbaric and Savage!

    Conspiracy theorist na ndo lengo lao mnaojifanya wajuaji kama ninyi mdiverge from the truth Brother there are secrets I believe but they won't reveal to mere slug head like you Everything you read in the internet it has been controlled it will end up accelerating their agenda behind the scenes
  9. startergear

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Ili uanze pray for iran kufurahisha mabwana zako
  10. startergear

    Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    Wewe kwa akili zako unahisi lingekuwa jeshi legelege angeishi pale na maadui pande zote? Ndo maana hata Iran hajapiga full scale war amerusha tukombora tu halafu akatulia...
  11. startergear

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Hana lolote yule ndo maana alizinguana na Martin masese wa x maana alisanua kuwa pale ni hela ya kupoozwa anaitafuta
  12. startergear

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Tatizo ukikosana na mange tusi la Kwanza atakusingizia una ngoma😁😁 Sasa mwanawane wakikuzushia una mzigo mpaka uje uprove wrong ushakosa bebezi kibao mtaani Bora kubandika bandeji mdomon
  13. startergear

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Wewe hizi habari za US kuiogopa Iran umezijulia wapi? Zile kambi kweli zilipigwa je walikufa wanajeshi wangapi? Wao walimuua jenerali wa juu kabisa navyojua Mimi Irani alipoteza zaidi
  14. startergear

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Vitoto hivi havijui maana ya Vita! Unadhani ni sifa kupigana pekeyako ndo maana nchi yenu masikini mpaka leo japo mlisaidiwa na china kupigana na Uganda
  15. startergear

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa watu Kama nyie ilitakiwa huyu mama aturudishe kwenye zile moments za kimagufuli yaani tuifeel Ile pinch Watanzania ukitaka kuwaweza display all presidential Powers akiendelea kucheka 😀😀 watamiharibia
  16. startergear

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    CNN ya bonyokwa? Au Aljazeera ya kwa Mpalange labda
  17. startergear

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Furaha yako uanze pray for Ayatollah
Back
Top Bottom