Search results

  1. Ngho

    Annua increment pdf

    Annual increments ni tuhela twa nyama kilo moja
  2. Ngho

    Simba SC Wanakwama Wapi?

    Umenikumbusha bei ya Kambole, Bigilimana, Lomalisa na Kisinda wamenunuliwa kwa bei kubwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Ngho

    Sema tu Mzee Mtei umri umeenda ila ndiyo angefaa sana kuwa Gavana wa Benki Kuu kwa sasa!

    Kwani si ana watoto? Wapewe huo ugovernor
  4. Ngho

    Madunduka FC

    Tuuheshimu mpira na matokeo yake, Sunche na Kapeto wote wametolewa. Na uhalali wa huu uzi upo? Period
  5. Ngho

    Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

    Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, história ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibu
  6. Ngho

    Punguzeni threads juu ya Chama

    Tuwe na kumbukumbu
  7. Ngho

    Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

    Ha ha ha
  8. Ngho

    M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Walivyo na kelele unaweza sema wana team kumbe wapi, Simba kuna planners wazuri na wanafanikiwa... UTO hawana watu, wakaona bora wamchukue Ashura Cheupe awashauri [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Umezunguka sana ila kwenye hoja yangu ni kuwa Simba inakaribia 40ml not exactly, na hata unaposema vichaa nahisi ni wale alowajumuisha Ashura Cheupe kuondoa wale wazee wawili[emoji23][emoji23] Ila kusema wengine hawajui mambo ya simba na UTO sijui, maana karibia kila mTanzania anaijua...
  10. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Tegua mtego with facts mzee
  11. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Ashura Cheupe amewa-rank vizur Vihio nyie.
  12. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Code ngumu hizi mzee meza panaldo ulale
  13. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Numbers don't lie. Uwanjani hawajazi, kwa page zao hawapo wengi. UTO mpo wapi?
  14. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40. Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania...
  15. Ngho

    Kwanini Hayati Magufuli hapoi?

    Kwa ndani kabisa, haya mambo ya Ukatoliki na Uislam tunashindwa kuwa na common say towards viongozi wetu. Wametugawa nasi tukawezekana. #UdiniUkristoVsUislam. Viongozi wote have got both strengths and weaknesses
  16. Ngho

    Mhilu haya magoli yatampa confidence

    Whatever is. Tulihitaji afunge, kumbuka alivyostruggle hata match ndogo za mwanzo hakufunga.
  17. Ngho

    Mhilu haya magoli yatampa confidence

    Nimekuwa naamini kama ni mchezaji nzuri kwenye team na anahitajika mno kwa local players, amekuwa akifanya kila jitihada na kudeliver kile mchezaji anapaswa kwa team yake. Ukata wa MAGOLI kulimnyima hali ya kukjiamini, na lilikuwa linasubiriwa kwa hamu kwake yeye, bench LA ufundi na wachezaji...
  18. Ngho

    Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

    Point of correction.. Katika hizo alama 30.5 nikuwa: Simba amevuna alama 28 Namungo ana alama 02 Yanga (wa KAWAIDA) 0.5 (zero point five).
  19. Ngho

    Bila "tumbua tumbua" haya Maendeleo tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo

    Mpaka anaingia kaburini hajatoa ufafanuzi wa upotevu wa 1.5 trillion, hakuajiri, hakuongeza mishahara wala promotion, kusitisha haki za watu kuishi (ref. Kibiti), pesa za tetemeko, makinikia bado hakuchenjua, hatujui what happened to Lissu, amedhoofisha taifa na kukitia aibu chama chake kwa...
  20. Ngho

    Pamoja na Kushinda Bado Simba Kiwango Kipo Chini

    Najikumbusha tu kuwa hawa NAMUNGO ndio ambao UTO mlitoa nao sare kule Lindi kwa penalty ya mchongo
Back
Top Bottom