Search results

  1. Mbilimbi Mbovu

    Kwanini nyimbo za Alikiba hazina lyrics?

    Sio lazima Musixmatch mzeeh, cheki hiyo hapo: http://mistariyetu.com/wasanii/ali-kiba/
  2. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Usiompenda kaja
  3. Mbilimbi Mbovu

    Tafakuri ya maisha: Ungefanya nini ikiwa umetambua bado miezi sita kuishi?

    Nitakula bata kadiri niwezavyo, na siku ijapofika inikute nikiwa batani, privately, nyumbani, na watu wangu ninaowapenda, na kila aina ya shangwe... #Masambewena
  4. Mbilimbi Mbovu

    Korea Kusini, Kaskazini wapiga Selfie, Lebanon wakataa kupanda basi moja na Israel

    Michezo fulani imekaa kitamaduni zaidi na inawabeba kweli akina fulani. Wala sio ishu sana kukosa medali, muhimu ni kutengeza 'industry' imara hapa nyumbani
  5. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Mimi najipendekeza. Sasa kwa mwanamke mwenzangu nitafute nini...
  6. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kumbe Serikali huwa inajihusisha na upumbavu? Mbona wale Wabunge wenu machachari walichangia positively, nakushangaa wewe kibaraka.
  7. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Niko kwenye kompyuta mkuu, Dell Precision T5500 Workstation... Haina dalili za ufeki!
  8. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Binti yako angekuwa Miss Tanzania ungejisikiaje?
  9. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kuna tatizo basi mkuu kama unaona aibu. Kwa hiyo umeziba macho kwa haya hapo au unavunja vidole?
  10. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Madame ni Mtanzania, so do hao boys and girlz ambao ndo watatuhudumia tukishazeeka... Hujafa hujaumbika, acha kudharau watoto wa watu!
  11. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Hakuna mahali nilikotaja ukahaba mimi, kwa kuwa najua ni brand tu hiyo... Watu tushazushiwa mengi mitaana hadi level za familia. Kama una la kupinga pinga hoja za post ya kwanza; mfano niambie kuwa Wema hajawahi kushinda Taji la Miss Tanzania, hamiliki moja ya kampuni chache za filamu na...
  12. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Aisee ningekuwa mwanaume ningemweka ndani huyu bibie. Anafaa kuwa mke ndio, tena mwema, fighter na anayejua kucheza na akili za watu... Mengine ni maneno ya magazeti ambayo hata kama yangekuandama wewe ungeonekana kituko.
  13. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kwa mujibu wako. Mimi nawajua viongozi wa makahaba ambao ni wakuu wa mashirika ya Umma na wanasiasa wakubwa, bila kusahau mashoga. Madam Wema Sepetu ni mwanamke jasiri, malkia wa nguvu... Kila sekta ana mafanikio, hadi siasa ambayo amethubutu kugombea Ubunge wakati akina nyie mkibwabwaja...
  14. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Diamond sio mtu wa kumsikiliza sana, alishasema anarekodi wimbo na Ne-Yo...
  15. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Pool Table tumecheza Embasy Hotel kabla Magufuli na Makonda hawajaja mjini, token buku enzi hizo... Kwa sasa tujadili laana ya Madam Wema Sepetu ambayo inaweza kutupata kama hatujamtaka radhi.
  16. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Diamond ni msanii wa Afrika, Ali Kiba ni Balozi wa Kimataifa wa kupinga ujangili. Rose Muhando, Belle 9, Navy Kenzo na wengine wana mikataba na makampuni ya kimataifa ya muziki. Hot Lulu na Richie wamekwala tuzo juzi, Bongo Movie inaenda kimataifa na wewe upo hapa unahubiri safari ndefu...
  17. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Hii nchi kuwa houseboy wa Madame Wema Abraham Sepetu ni zaidi ya kuwa na Degree ya Kwanza ya chuo cha umma, ni zaidi ya kada nyingi sana Serikalini. In fakt ikitokea madam akataka niwe hausiboi wake nitabarikiwa sana.
  18. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Huyo sio Miss, ni Miss Tanzania 2006, nafasi ya kitaifa na ambayo mshindi huwakilisha Taifa. Kuna kipindi interest za Madam zilikuwa ndio interest za Taifa na siku ikitokea Madam akatangulia basi ni msiba wa kitaifa. Ndio maana 'Wema Sepetu' wa 2014 alipokutwa na sakata la kufoji umri...
  19. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Inaniuma sana mkuu. Wakati mwingine hizi ni laana za Kitaifa. Imagine mtu anamchukia Wema wakati hajawahi kumfanya lolote, wanaacha kuwamaindi waandishi uchwara ambao kila leo wanawaharibia watu wanyonge maisha, kwa kuandika habari zao bila faraga wala kificho. Naamini tukiwachukuza GPL na...
Back
Top Bottom