Search results

  1. MWANDENDEULE

    Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Hii tabia ya kuwalingishia wananchi picha za kikao badala ya kutoa taarifa ya kilichojadiliwa si uungwana.
  2. MWANDENDEULE

    Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    Kama lengo ni kujihami, kwa nini wabebe siku ya Jumanne tu? je, hakuna vitisho katika siku zingine tofauti na Jumanne?
  3. MWANDENDEULE

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Siyo kwamba nao wanaandamana kisirisiri maana lengo la maandamano linamgusa kila mtu hapa nchini, sote tunaguswa na ugumu wa maisha, wazee wetu kuibiwa pesa zao kwa jina la kikokotoo.
  4. MWANDENDEULE

    Taasisi ya Victoria Foundation yakabidhi taulo za kike kwa shule 25 Mkoani Geita

    Tutakufa kwa umasikini na ujinga wetu. Tuombe tu isijekuwa namna ya kuwajaza hawa mabinti pale osheni rodi huko mbeleni.
  5. MWANDENDEULE

    Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

    Magu, halmashauri ya Buchosa
  6. MWANDENDEULE

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Unaweza ukapitiwa ukasema huyu ni "mshenzi sana" amejaa ubinafsi, unyang'anyi na kukosa adabu mbali na huruma kwa wengine. Mtumishi analipwa mshahara mdogo ukilinganisha na kazi kubwa anayoifanya halafu hata mafao yake mmbane kwenye kikokotoo na kumpangia achukue kiasi gani kwa mkupuo hali kwa...
  7. MWANDENDEULE

    Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    Trafiki wanafanya jambo jema hapo barabarani kukamata hao wasafirisha wahamiaji haramu ila sijui kwa upande wa ndege zinazobeba tembo na twiga wetu kama zinapigwa hata mkono, jamaa ndio maana walitaka trafiki waende likizo ya kudumu.
  8. MWANDENDEULE

    Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Ujumbe umetufikia Bw Sendeka basi achana na chama kabisa maana kuendelea nacho ni kudhihirisha ile hali unayoikana mbele ya kamera
  9. MWANDENDEULE

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera, Gratian Mkoba atangaza Vipaumbele 6, imo Katiba mpya na Kikotoo

    Bila shaka fao la kujitoa NSSF itakuwa moja vipaumbele vyake punde atakapoingia bungeni hapo mwakani
  10. MWANDENDEULE

    Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    Kama kinachoogopwa ni uchawi japo si kwa kila mtu, kwa nini Sumbawanga na Kigoma kwa wachawi na waganga wa kila aina kuna wizi? Zanzibar na Pwani kote kwa watu wenye ulinzi shirikishi wa majini na maruhani kuna wizi hadi wa yebo katika nyumba za ibada, kwenyewe wazi hawagopi?
  11. MWANDENDEULE

    Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    1. Pesa/mali kila mtu anayo ya kutosha siyo kama zile sehemu za wazee wa sokoni 7days/week. 2. Hawana tamaa za hovyo hovyo juu ya mali ya mtu 3. Maadili mema ni jadi yao
  12. MWANDENDEULE

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kwa akili zetu na uwezo wetu mdogo katika mambo ya sayansi na teknolojia hata wangeweka virutubisho hivyo mbele ya mkemia mkuu wa serikali, ofisi yake nzima, TBS na TFDA bado wangetula vichwa tu kama nia yao ni ovu. Tusipende vya bure na tulipende Taifa letu, haki itamalaki kwa wote.
  13. MWANDENDEULE

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Kula majani hayo ni mboga safi sana na salama. Kuuogopa ni sawa na kuogopa mtama mwekundu kwa rangi yake hali mababu zetu huko Kishapu, Bariai, Maswa, Igunga n.k wamekula na walikuwa imara zaidi ya wala mahindi ya panna, zam seed n.k
  14. MWANDENDEULE

    Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Kama hakushuka, hiyo picha ilipigwa kwenye ndege? Enzi hizo fiksi zilikuwa nyingi sana, wazee wetu walikuwa gizani usiwaamin sana
  15. MWANDENDEULE

    Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Vyanzo vyote vya umeme nchini ni vipi, mbona kama hayuko huru?
  16. MWANDENDEULE

    Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kwa maliasili USA iko vizuri. Ina mafuta ya kutosha kule Texas pia.
  17. MWANDENDEULE

    Spika Tulia: Tusijadili masuala ya vyoo Bungeni

    Kikokotoo cha wastafu na fao la kujitoa tu vimewashinda kwa nini msijadili vyoo kitu ambacho ni changamoto katika shule, zahanati, hospitali na stendi za mabasi na daladala nchini?
  18. MWANDENDEULE

    Kwanini Lodges wasitumie mfumo wa Masaa 24, Kufika usiku halafu asubuhi hela imeisha ni ujinga!

    Serikali au wizara husika kama nyumba na makazi, biashara na uwekezaji na katiba na sheria wakalitazame hili na kutoa mwongozo mara moja. Mfumo unaotumika kwa sasa wa kutamatisha upangaji kwenye guest houses, lodges na mahotel kila ifikapo saa nne asubuhi bila kuzingatia muda aliowasili...
  19. MWANDENDEULE

    Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Bila shaka ni Madilu
Back
Top Bottom