Search results

  1. P

    Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Sikubaliani na wewe na ninadhani umeandika kwa sababu haujui muda (time) ni nini in terms of money? Hamna mtu yuko pale akisubiri yeyote aje ili wamtembeze kama unavodai na isitoshe usilinganishe mitambo ya veta na na mitambo iliyoonyeshwa katika kile chuo. Viongozi waliopo wameshindwa...
  2. P

    CCM wasambaza waraka wao, wapinga rasimu ya Katiba Mpya

    Kweli viongozi wa CCM hawawezi kufikiri tena! Tanganyika ilikuwa nchi huru, na Zanzibar ilikuwa nchi huru. Kusema kuwa serikali tatu ni gharama kuziendesha ni uwendawazimu! Kila nchi ibaki na uhuru na mamlaka yake, tuungane katika serikali ya Muungano kwa mambo yale tu yaliyoainishwa kuwa ni ya...
  3. P

    Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

    Kama kusikiliza kwetu ni kwa mashaka, hata uelewa wetu utakuwa wa mashaka kwa sababu tumejaa ukadakada tu. Mbowe alichokisema ni kwamba inakuwaje mtu aliyechaguliwa na wananchi kwa kura nyingi anakataliwa na watu sita tu ambao wamo WDCs na akaishauri serikali kuwa wajumbe wa mabaraza ya kata...
  4. P

    Kesi ya Rwekatare polisi yakwaa kisiki; mahakama yachefuliwa na mwenendo wa kesi?

    Bwana wa haki, usimpe mwovu anavyopenda; Usiruhusu hila zake zifanikiwe, wasije wakajiinua. Wenye hila wainuapo vichwa vyao; madhara ya midomo yao yawafunike. Makaa ya moto yadondoke juu yao, watupwe motoni, katika mashimo ya tope, wasiweze kusimama tena. ''MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi...
  5. P

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Lwakatare hana kesi, hata ukipitia makosa manne ambayo wamembabikizia, hayawezi kuthibitishwa kwenye mahakama yoyote ile. Kadiri siku zinavyokwenda waache hawa watawala ghadhabu ya mwenye haki izidi kuwaadhibu na wataaibika sana katika uso wa ulimwengu huu!
  6. P

    Helen Kijo-Bisimba; Dalili ya kutokea mauaji ya kimbari nchini Tanzania!

    Kusema ukweli sio uchochezi, dhibitisha uchochezi wake na kama huwezi ya nini kumtuhumu hivyo?
  7. P

    Upofu wetu twatumbukia shimoni kwa jinsi dola inavyodeal na suala la Lwakatare

    Kwa wale ambao wamekuwepo Tanzania na kufuatilia namna na jinsi mwenendo wa siasa za Tanzania unavyoenda Tangia kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2010, watawala wetu na chama tawala wamekuwa na wakati mgumu sana mpaka dakika hii. Si mara moja katika mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya chama...
  8. P

    Exremism on the rise in Zanzibar-funded from Saudia and Dubai!

    Kama huwezi kusoma na kuelewa mada bora ukae kimya ili usionekane punguani! Anyway unaelewa kikureshi kuliko lugha iliyotumika hapo zaidi!
  9. P

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Nimejaribu kuifungua clip hii lakini sijafanikiwa. Nimejaribu kujikumbusha mambo kadhaa hapo nyuma hasa ya mauaji na nimeconclude moja tu! Mkakati wa CCM unaendelea na haujafanikiwa. Ikumbukwe Mwangosi alipouawa ilisemekana wafuasi wa CHADEMA walimlipua kwa bomu! Baada ya picha na video kuwa...
  10. P

    Kikwete kawa muumini wa historia mpya Tanganyika?

    Historia anayotaka kuijenga itamhukumu Mwenyewe na wale wanaoshabikia upofu huu wakati utakapofika ndipo watakapogundua kuwa walichokuwa wamelenga kimewaingiza kaburini na huko ndiko kutakuwa kilio na kukereza meno! Just wait, time will reveal the truth for short sighted leaders and their...
  11. P

    Mafisadi na Ofisi ya Rais, Stop Destroying Our Country!

    Ukiona mtu anatumia nafsi yake ya chini kufikri na anapinga ukweli unaoihusu Ikulu, mpe tano tu maana hana utambuzi tena acha aenjoy hiyo pay ya kukaa kwenye keyboard na kukanusha ukweli but as time goes on wakati wa kusulubiwa yeye na kizazi chake ndo atajua ni namna gani alikuwa zuzu kwa...
  12. P

    Hali ni tete, msaidieni JK kujibu maswali haya!

    Soma nini yalikuwa malengo ya Abja 1978 utajua nini anakifanya JK na ukimya si kwamba hajui bali ni kuhakikisha malengo yanatimia ila asipokuwa makini aangalie asije ishia ile mahakma ya Kimataifa.....the eg
  13. P

    Anne Makinda: Hoja binafsi marufuku kuanzia sasa!

    Kuna vituko kweli Tanzania! Hivi kweli CCM hamuoni kuwa mnajiaibisha mbele ya Watanzania? Ni kanuni ipi ya bunge spika anatumia kufuta kabisa hoja binafsi? Hata kama ni kubaka demokrasia si kwa jinsi hii. Inasikitisha kuona mtu mzima hakubali kukosolewa na hakubali kuelimisha akijua fika kuwa...
  14. P

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Hamna kitu kibaya kujiona wewe ni bora kuliko binadamu wengine na mawazo mazuri zaidi ya binadamu wengine wote waliowahi kuishi katika ulimwengu huu. Kauli ya huyu Mkurugenzi inadhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi na mawazo yake ni bora zaidi ya wengine. Issue inayohusu maslahi ya watu...
  15. P

    Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    The sword is the tool that was used to spread Islam (violence, hatred, blood, and persecution along with it) . Islam in Arabic means submission; submission to the sword under the fear of being killed. Ex-Muslim Read more: What does the sword on the Saudi Arabia flag mean
  16. P

    Ad hoc cabinet meeting tommorrow morning

    A foolish person can not learn from mistakes of himself/herself and others. He/She always wants to repeat the same mistakes and face the consequences! What is happening around the world is a lesson to our political leeaders allowing such stupidity to grow to that level with their eyes open it...
  17. P

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Kuna haja ya kutafakari yale tunayoyawaza kabla ya kuyaandika hapa jamii forum. Tanzania si nchi pekee ambako vurugu za kipuuzi na ugaidi zinaendelea duniani kote. Kila mtu mwenye akili timamu na asiyemtumwa wa fikra atakubaliana nami kwamba katika karne hii ya 21 usalama wa dunia uko mashakani...
  18. P

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Kama tukielewa mitume wetu waliishije na kuyaelewa maandiko matakatifu katika vitabu vyetu amani na upendo vitatawala na upuuzi tunaoushuhudia hautakuwepo. Nje ya hapo ni kujidanganya eti tunawatetea mitume! Mjengwa nakuomba uwaelimishe wengi nje ya jamii forum labda watakuelewa maana mbali na...
  19. P

    Open Letter to H.E. Pres. JM KIKWETE: Religious Turmoil in Tanzania - A case of Mbagala and Kigoma

    Unfortunately even the president is crying as a mere citzen! He has no will power to restore the situation and I recon he a beneficiary of the ongoing violence!
Back
Top Bottom