Search results

  1. H M HAY

    Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    Kwani mamlaka inayohusika kupanga mechi Gani ichezwe lini ni YANGA SC au Tff? Suala la Yanga kuwahonga Tff ili kulazimisha mechi ya Yanga vs Namungo una uhakika nalo au ndiyo tunatumia uhuru wa kuongea vibaya?!!!
  2. H M HAY

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwa mujibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr J P Magufuli, hofu ni ugonjwa hatari zaidi kuliko hata virusi vya Corona! Ndiyo, unapokuwa na hofu kunakosekana umakini na ujasiri hali inayopelekea watu kukata tamaa. Tunapokata tamaa maana yake ni kuwa umuhimu wa kuchukua tahadhari...
  3. H M HAY

    Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Hao wanaolalama hawana jipya maana tumezoea kuwaona siku zote wakilalamika hata kwa mazuri yanayofanyika. Tujifunze kushukuru kwa mazuri yafanywayo na siyo kila jambo ni kupinga tu
  4. H M HAY

    Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Hakika Magufuli ni mtu wa watu. Wanaomchukia wana lao jambo!!!
  5. H M HAY

    Je,wanasingida tunanufaika nini na ziara ya Tundu Lissu?

    Mwanasheria mkuu wa Chadema na mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu yupo nje ya nchi tangu alipopigwa risasi katika jaribio la kuuwawa. Baada ya kupata matibabu nchini Ubelgiji, hivi sasa anaendelea na ziara zake katika nchi za Ulaya na Amerika. Akiwa katika nchi hizo amekuwa akitoa...
  6. H M HAY

    Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

    Bila shaka kila jambo lina wakati wake. Sasa ni wakati wa Mbowe kuchunguzwa ili kubaini yaliyojificha. Lissu unaujua ukweli kuhusu Kiongozi wako Mbowe
  7. H M HAY

    ROMBO, KILIMANJARO: Madiwani watatu wa CHADEMA, wawili wakiwa viti maalum wahamia CCM

    Mtamaliza maneno yote kuhusu wanaohama kutoka Chadema kwenda CCM. Ukweli nu kuwa Chadema imepoteza mwelekeo na kwamba watanzania sasa wameanza kulifahamu hilo. Hakuna jipya tena kwa Chadema na kwamba kwa wale wafuasi wa chama hicho mtayaongea mengi ya kujifariji!!!!
  8. H M HAY

    Hongereni sana Azam Tv kwa kuonesha kampeni za uchaguzi mdogo

    Hakuna jipya hapo, mnapoteza muda wenu bure kusifu vitu ambavyo havina faida kwa upande wako. Uchaguzi unafanyika katika jimbo lingine, wewe unashadadia as if wewe ndiye mgombea wa chama fulani. Badala ya kufanya kazi ujiongezee kipato unatumia muda wako mwingi kusifu mambo yasiyokusaidia
  9. H M HAY

    Kutembelea Rwanda

    Ni kweli kabisa, sisi sote ni ndugu. Tutatembelea huko siku moja
  10. H M HAY

    Nini hatma ya Chama cha CUF?

    Kila kukicha kwenye vyombo vya habari ni taarifa za mgogoro uliokikumba chama cha siasa cha wananchi CUF. Mgogoro huu unasababishwa kwa kiasi kikubwa na uroho wa madaraka ingawa kwa upande mwingine ni ushawishi kutoka kwenye vyama vingine. Kwa mwenendo huu hii na dalili tosha ya kupotea kama si...
  11. H M HAY

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Kama wapo wenye ushahidi watajitokeza tu lakini napata mashaka juu ya ukweli wa jambo hilo maana watanzania kiukweli hawaeleweki!!!!
  12. H M HAY

    Kulikoni Steve Nyerere, Wema Sepetu na Mama Wema?

    Huo ni uhuru wa kutoa mawazo na ndiyo maana kila mmoja ana nafasi ya kueleza kile anachokifahamu. Wewe waumiaje kuhusu hilo? Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wahanga wa jambo hili na ndiyo maana limekugusa kiasi umeshindwa kuvumilia na kutoa maneno kama ya mtu mlevi aliyelewa na kushindwa...
Back
Top Bottom