H M HAY
Member
- May 18, 2015
- 32
- 19
Kila kukicha kwenye vyombo vya habari ni taarifa za mgogoro uliokikumba chama cha siasa cha wananchi CUF. Mgogoro huu unasababishwa kwa kiasi kikubwa na uroho wa madaraka ingawa kwa upande mwingine ni ushawishi kutoka kwenye vyama vingine. Kwa mwenendo huu hii na dalili tosha ya kupotea kama si kufa kabisa kwa chama hicho.