You Must Never Do the following in a marriage discussion;
1. No name-calling or denigrate your partner.
2. No threats, especialy of divorce or suicide.
3. No negative remarks about in-laws or relatives.
4. No insults concerning physical appearence of your partner.
5. No doubting...
According to the book 'Heart to Heart' by Nancy Van Pelt, the following are the most important things you must do in your marriage discussion.
1. Do your best to reach an agreement before ending the discussion. Do not leave in the heat of the argument.
2. Speak in a normal tone of voice...
Soma Mathayo 19:3-12. Hayo ni moja ya majaribu wala hapaswi kuyakimbia. Hivyo ni vita vya kiroho havipiganwi kwa mwili. Wewe u'mtakatifu' kiasi gani hata ujitenge na mchawi iwapo Yesu mwenyewe alikaa na wachafu zaidi ya huyo? Msaidie ili naye amjue Yesu kama wewe ni mkristo!
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu...
Kama ndoa ilifungwa kwa misingi ya dini ya kikristo huwezi kumuacha, huo mzigo ni wako na kwa ushauri tu unapaswa umuombee Mungu ampe macho ya rohoni ili aweze kujionea uchafu wake. Bila shaka ataumia akigundua kuwa uchawi hauna thamani aliyoina na hivyo ataacha. Huna haja ya kumpiga, kumuacha...
Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine...
Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine...
One of my greatest dreams is to become one of the few important international figures. I like Open, Clean and True politics. I also would like to leave behind me a brilliant legacy for the coming generations. Isn't he the one who introduced democracy? I think Abraham Lincoln is one of them...
One of my greatest dreams is to become one of the few important international political figures. I like Open, Clean and True politics. I also would like to leave behind me a brilliant legacy for the next generations. I think Abraham Lincoln is one of them. Isn't he the one who introduced...
One of my greatest dreams is to become one of the few important international figures. I like Open, Clean and True politics. I also would like to leave behind me a brilliant legacy for the coming generations. Isn't he the one who introduced democracy? I think Abraham Lincoln is one of them...
Thanks for understanding. Naamini Tanzania itajengwa na watu waelewa kama wewe. Everyone must understand that, Tanzania is built on the backs of those before us and that all of us have a responsibility to the generations that came before us and to the generations after us to leave Tanzania a...
Bora umeuliza. Watu wengi huwa wanafikiri humu ni mapenzi tu lakini sikweli. Ukisoma title ya forum unaambiwa 'Mahusiano, Mapenzi na Urafiki'. Binafsi nazungumzia mahusiano, mapenzi, na urafiki baina ya mzazi/mlezi na mtoto.
Labda nianze na wewe, ujumbe umeupata? Binafsi naamini hata wewe ni mlengwa haijalishi una ama huna mtoto. Waswahili wanasema, 'mtoto wa mwenzako ni mtoto wako!'. Hata hivyo naamini wapo wachache wameupata ujumbe. Nahitaji japo wachache tu kuelewa si lazima wote kuelewa kwa wakati mmoja. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.