Search results

  1. king's lawyer

    Nauza Rav4 OLD MODEL 1999

    -Model 1999 -Transmission MANUAL -In excellent condition -Pm only serious buyers,price 14.5m
  2. king's lawyer

    Kiwanja kinauzwa, kipo Salasala

    Ukubwa 24×23 Mita Haijapimwa,majirani wote wamepima Ni kuunga vipimo tu.. Bei ni milioni 20 mazungumzo.kidogo Pande zote zimejengwa. Ni mita 200 kutoka kwenye minara inapoishia lami,kiwanja cha pili kutoka barabarani. UKIWA MUHITAJI WA KWELI,njoo PM nikupe namba ya mmiliki.
  3. king's lawyer

    Plot for sale

    .
  4. king's lawyer

    Masaa 24 bila umeme,ubungo NHC nini sababu?

    Salamu wadau, Pasaka haikuwa nzuri eneo nililolitaja na Tanesco wako kimya!tunavuja jasho na pilau ya sikukuu inaoza kwenye friji. Hivi tatizo lolote lililopo limeshindwa kutatuliwa?na Tanesco muko kimya kwa masaa 24?na tunaelekea kwenye masaa 48 sasa,nini shida?
  5. king's lawyer

    Samaki wa kuchoma sasa ni anasa

    Wadau salamu sana, Kwa mazoea kawe beach ni sehemu maarufu kwa uchomaji wa samaki jijini,mbali na ukweli kuwa zipo sehemu nyingine kama Meeda sinza,Safari carnivor ambapo mchomaji maarufu wa kawe siku za nyuma alihamia hapo. Siku za nyuma pia maeneo ya chabg'ombe ilikuwepo bar maarufu FIRST AND...
Back
Top Bottom