Search results

  1. Jitu Kabeja Diggala

    Watu wanaojiamini kupitiliza

    Aiseee, aligonga kwenye mazingira yapi tena
  2. Jitu Kabeja Diggala

    Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

    Ana ka ujinga fulani kichwani,licha ya kupata elimu yake ya chuo lakini bado haikumsaidia
  3. Jitu Kabeja Diggala

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Tafuta mwenzako anayependa kusiginwa mpige shughuli
  4. Jitu Kabeja Diggala

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Hana kazi ya maana ya kufanya,analipwa zake laki 7 na kwao ndo anaitwa tajiri,kwahiyo ukimwambia chini ya milioni tano ni masikini anakuona kama unamuonea wivu tu
  5. Jitu Kabeja Diggala

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Ukisikia mgambo wanaruka na kukanyagana ndo huku sasa,mara wealth is infinity,mara milioni tano ni pesa nyingi ya utajiri? Mzee tukueleweje? Halafu muda huohuo unatuasa vijana tuamke tutafute hela,hela gani sasa kama milioni 3 kwako ni utajiri?
  6. Jitu Kabeja Diggala

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Hakuna sehemu mtoa mada kasema yeye ni tajiri au kutaja kipato chake,ila kaandika anachoona yeye ni sawa haijalishi yeye anavyo au hana,shida yetu wabongo wengi ni masikini sana na tunapenda maneno ya faraja,mtu akituchana ukweli tu tunapaniki na lazima tumshambulie
  7. Jitu Kabeja Diggala

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwani hela za mishahara alikuwa anatunza tu hatumii? Usicheze na bilioni mzee,wanasiasa wengi hata M200 tu benki ni mtihani,bilionea msuya mwenyewe na utajiri na uwekezaji wake wote alikufa akaacha milioni 850 tu benki,sembuse mbunge tena wa upinzani? Na kumbuka kadri unavyolipwa vizuri ndo...
  8. Jitu Kabeja Diggala

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Ok,mzigo wenyewe ni kinanda uzito wa kilo 3.5
  9. Jitu Kabeja Diggala

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Habari yako mkuu, Samahani nami naomba kuuliza,vipi kwa mimi nayetaka kununua bidhaa (amazon) marekani? Swala la courier ni yupi yuko vizuri? Au hata wao wanafikisha kwa ile shipping yao? Asante
  10. Jitu Kabeja Diggala

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Airtel hata mimi wamenishinda, tumia tigo pesa ama m pesa
  11. Jitu Kabeja Diggala

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Hao ni posta mzee, kuwa na subira, huwa wako polepole sana, ila mzigo ukifika wanakupigia simu ukachukue.
  12. Jitu Kabeja Diggala

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Wakubwa,naombeni uzoefu wenu kuhusu kuagiza simu aliexpress,sanasana upande wa shipping,huwa wanasafirisha kwa njia gani?
  13. Jitu Kabeja Diggala

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Nimepokea tar 5 june,niliagiza tar 22 may
  14. Jitu Kabeja Diggala

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu, i5 gen ya 8 kwa laki nne tu? Naomba unielekeze chimbo tafadhali,naihitaji
  15. Jitu Kabeja Diggala

    Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Walikutumia mpaka Geita mzee? Au ulichukulia dar?
Back
Top Bottom